Kamfunge mumeo madaktar wanasema kumfunga mwanaume mirija haina madhara sana kama anapofungwa mwanamke
kitanzi hakina madhara ila waliotumia wanalalamikaKitanzi kuna mtumiaji mmoja alinambia kinamuumiza na pia kinasogea hivo waweza ku conceive
sindano zinafanya mtu ableed sana afu kuja kupata tena mimba ni bahati nasibu
vidonge mbali na kunenepaa au kukonda vinachefua unahisi kufwa kufwa tu, afu sio rahisi kukumbuka kila siku kumeza
kalenda ndio nzuri japo mmh mmgegedo wa kupima kwa kibaba nao yataka moyo
sana my dearpia naskia unabreed sana,lakini nahisi inategemea mtu na mtu.#WANAWAKE TUNATABU
embu tuongee kuhudu pillsKama hautaogopa kupoteza hedhi yako for 18 months then choma depo bt unaweza boost mayai ya kike kama utahtaj kubeba mimba kwa kumeza dawa ziitwazo "chlomifene citrate"
tukiacha kondom ni njia gani nzuri kwa afya yako
ukisema ni mbaya njiq flani jaribu kuelezea madhara yake
usishushe madesa wala kutoa Link
please tupe uzoefu yakinifu
Ndoa za jinsia 1
Kuna doctor aliwahi nambia eti hata siku zikibadilika bado ovulation itabaki ilele, maana huwa hazibadiliki saaaana, ngoja nitamuuliza zaidi maana sikuwa serious that day
Njia nzuri ni Kalenda, ukishindwa tumia mitishamba.