Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Aiseeee!!! Hayo madawa
Yalichomfanya x wang
Anajua tu mwenyewe huko
Aliko mpaka leo

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
husababisha pia hedhi kuruka na kupitiliza siku za bleed na kuota kitambi.
 
Najuta kumshauri mke wangu kutumia hayo madude. Yamesababisha madhara aisee. Homa haziishi, hedhi kuvurugika, tumbo kuuma, yaani hata mzuka wa game hana.

Natamani nitafte mtoto wa tatu lkn imeshindikana. Tumeyatoa badala ya kukamilisha miaka mitatu, tumemaliza miwili. Lkn yamemuumiza mke wangu

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
8 ni nzuri sna

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Swali lako halieleweki mkuu. Maana hata ukiimengenya protein mwisho kabisa utapata amino acids ambazo ndio hasa zenye Kazi. Lakini pia kny homone kuna vitu vingine zaidi ya proteins kama vile steroids nk. Unapo dawa yoyote kuna inayoharibiwa na mfumo wa chakula na in lakini kuna inayofika kwenye mzunguuko wa damu ambayo ndiyo inakwenda kuleta athali iliyokusudiwa
 
Sijui kwa nini dawa za uzazi wa mpango huwalenga wanawake tu.

Ningekuwa mwanasayansi ningevumbua dawa ya uzazi wa mpango ya kudhoofisha sperms za mwanaume zisiweze kurutubisha yai pindi ziingiapo.
 
swali!! labda naona haujanielewa ngoja nikuulize hivi! kwanini insulin haifanyi kazi kama ukiingiza mwilini kwa kuinywa? lakini ukijidunga kupitia veins inafanya kazi vizuri tu
 
Sijui kwa nini dawa za uzazi wa mpango huwalenga wanawake tu.

Ningekuwa mwanasayansi ningevumbua dawa ya uzazi wa mpango ya kudhoofisha sperms za mwanaume zisiweze kurutubisha yai pindi ziingiapo.
ungekuwa mwanasayansi
 
Sijui kwa nini dawa za uzazi wa mpango huwalenga wanawake tu.

Ningekuwa mwanasayansi ningevumbua dawa ya uzazi wa mpango ya kudhoofisha sperms za mwanaume zisiweze kurutubisha yai pindi ziingiapo.

Nadhani kwa sababu wavumbuzi wa dawa hizo ni wanaume, na ilionekana ni rahisi dawa hizo kutumika kwa mwanamke sababu ya nature ya mfumo wa uzazi.

Lakini pia mawazo kama haya yako yameanza kuonekana miaka hii ya Leo ya kutaka haki sawa kwa kila jambo.

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Poleni na kazi wakuu, Mimi ni kijana ambaye Mke wangu ana mtoto mchanga

Sasa anadai kujiunga na uzazi Wa MPANGO

Nini faida na madhara ya kujiunga na UZAZI WA MPANGO KWAKE NA KWANGU? Natanguliza shukrani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana uzazi wa mpango usiwe na faida yeyote kwako wewe na mkeo lakini kukawa na faida kwa mtoto, kwa mfano mtoto akibahatika kunyonya maziwa ya mama kwa miaka miwili inamsaidia sana katika ukuaji wake hasa maendeleo ya ubongo/akili, kama unampenda mwanao automatically hii yaweza kua ni faida kwako pia
 
Sijakuekewa Mkuu ina maana mtoto akiwa ananyonya mama yake hawez kushka ujauzito?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni na kazi wakuu, Mimi ni kijana ambaye Mke wangu ana mtoto mchanga

Sasa anadai kujiunga na uzazi Wa MPANGO

Nini faida na madhara ya kujiunga na UZAZI WA MPANGO KWAKE NA KWANGU? Natanguliza shukrani..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna faida na hasara kwa mama, kwa baba, kwa mtoto, kwa familia, kwa jamii, kwa mwajiri, kwa taifa na kwa dunia. Wewe unaulizia faida na hasara kwa nani?
 
Mkuu uzazi wa mpango una manufaa sana katika familia.Maana mnampa mtoto mda wa kunyonya vizuri pasipo kuwa na wasiwasi wa kupata mimba nyingine na kumkatisha ziwa mtoto mchanga.Na ukiongelea uzazi wa mpango unaenda sambamba na njia za uzazi wa mpango.Kwenye njia za uzazi wa mpango kuna kitanzi,njiti,condom na vidonge.Ukienda kwa washauri wa mambo ya uzazi wa mpango watakwambia njia zote izo zina side effect kasoro condom.Mini nlienda na wife nikamwambia iyo kitu sitaki kusikia,kuliko kumwekea kitu ndani ya mwili ni bora tucheze na tarehe zake au tutumie condom.Unaweza kuwekewa kitu mwili mwisho wa siku usipate tena mtoto au ikakuchukua miaka mingi kupata mtoto.Bora tufuate njia za asili.
 
Sijakuekewa Mkuu ina maana mtoto akiwa ananyonya mama yake hawez kushka ujauzito?

Sent using Jamii Forums mobile app
Itategemeana kuna wamama wengine mtoto akiwa ananyonya yeye hawezi kupata uja uzito, na wengine mtoto akiwa ananyonya mama anapata uja uzito lakini maziwa yanapungua ubora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…