Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali lako halieleweki mkuu. Maana hata ukiimengenya protein mwisho kabisa utapata amino acids ambazo ndio hasa zenye Kazi. Lakini pia kny homone kuna vitu vingine zaidi ya proteins kama vile steroids nk. Unapo dawa yoyote kuna inayoharibiwa na mfumo wa chakula na in lakini kuna inayofika kwenye mzunguuko wa damu ambayo ndiyo inakwenda kuleta athali iliyokusudiwahapo kwenye dawa za uzazi wa mpango kwa kumeza hapo mm ninavyoelewa ni kuwa kam ulivyosema dawa zote hizo ni hormones ss kama ni hormones na tunavyojua ni kuw hormones ni protein in nature na zikipita kwa alimentary canal lazima zimeng'enywe kwenye tumbo la chakula kutokana na gastric juice iliyopo hapo na kisha itavunjwa vunjwa hadi kuisha kabisa na kugeuzwa source ya nguvu (energy in form of ATP) mm ninavyoelewa ndiyo hivyo .ss kwa mujibu wa maelezo yako hapo kwenye kumeza hapo inakuwaje kuwaje na hizo ni hormones????
swali!! labda naona haujanielewa ngoja nikuulize hivi! kwanini insulin haifanyi kazi kama ukiingiza mwilini kwa kuinywa? lakini ukijidunga kupitia veins inafanya kazi vizuri tuSwali lako halieleweki mkuu. Maana hata ukiimengenya protein mwisho kabisa utapata amino acids ambazo ndio hasa zenye Kazi. Lakini pia kny homone kuna vitu vingine zaidi ya proteins kama vile steroids nk. Unapo dawa yoyote kuna inayoharibiwa na mfumo wa chakula na in lakini kuna inayofika kwenye mzunguuko wa damu ambayo ndiyo inakwenda kuleta athali iliyokusudiwa
ungekuwa mwanasayansiSijui kwa nini dawa za uzazi wa mpango huwalenga wanawake tu.
Ningekuwa mwanasayansi ningevumbua dawa ya uzazi wa mpango ya kudhoofisha sperms za mwanaume zisiweze kurutubisha yai pindi ziingiapo.
Ningekuwa mwanasayansiungekuwa mwanasayansi
Sijui kwa nini dawa za uzazi wa mpango huwalenga wanawake tu.
Ningekuwa mwanasayansi ningevumbua dawa ya uzazi wa mpango ya kudhoofisha sperms za mwanaume zisiweze kurutubisha yai pindi ziingiapo.
Inawezekana uzazi wa mpango usiwe na faida yeyote kwako wewe na mkeo lakini kukawa na faida kwa mtoto, kwa mfano mtoto akibahatika kunyonya maziwa ya mama kwa miaka miwili inamsaidia sana katika ukuaji wake hasa maendeleo ya ubongo/akili, kama unampenda mwanao automatically hii yaweza kua ni faida kwako piaPoleni na kazi wakuu, Mimi ni kijana ambaye Mke wangu ana mtoto mchanga
Sasa anadai kujiunga na uzazi Wa MPANGO
Nini faida na madhara ya kujiunga na UZAZI WA MPANGO KWAKE NA KWANGU? Natanguliza shukrani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuekewa Mkuu ina maana mtoto akiwa ananyonya mama yake hawez kushka ujauzito?Inawezekana uzazi wa mpango usiwe na faida yeyote kwako wewe na mkeo lakini kukawa na faida kwa mtoto, kwa mfano mtoto akibahatika kunyonya maziwa ya mama kwa miaka miwili inamsaidia sana katika ukuaji wake hasa maendeleo ya ubongo/akili, kama unampenda mwanao automatically hii yaweza kua ni faida kwako pia
Thantee na hasara zake jeFaida zake ni kuwa penzi lako na mkeo litaendela bila kuwaza mimba zisizopangwa
Kuna faida na hasara kwa mama, kwa baba, kwa mtoto, kwa familia, kwa jamii, kwa mwajiri, kwa taifa na kwa dunia. Wewe unaulizia faida na hasara kwa nani?Poleni na kazi wakuu, Mimi ni kijana ambaye Mke wangu ana mtoto mchanga
Sasa anadai kujiunga na uzazi Wa MPANGO
Nini faida na madhara ya kujiunga na UZAZI WA MPANGO KWAKE NA KWANGU? Natanguliza shukrani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa afya ya mama na familia kiujumlaKuna faida na hasara kwa mama, kwa baba, kwa mtoto, kwa familia, kwa jamii, kwa mwajiri, kwa taifa na kwa dunia. Wewe unaulizia faida na hasara kwa nani?
Inategemea njia unayotumia kalenda na condom hazina madhara kabisa
Itategemeana kuna wamama wengine mtoto akiwa ananyonya yeye hawezi kupata uja uzito, na wengine mtoto akiwa ananyonya mama anapata uja uzito lakini maziwa yanapungua uboraSijakuekewa Mkuu ina maana mtoto akiwa ananyonya mama yake hawez kushka ujauzito?
Sent using Jamii Forums mobile app