Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri


you welcome dear
Asante na wewe kwa kusoma na kuelewa ..
Na pia asante zaidi kwa sisistizia condom.
Kwa kweli ushauri ni kitu cha bure anaetaka kuchukua achukue na anaetaka kuacha aache si lazima.😛oa
 
ujue wasichana wengi wakiwa kwenye mahusiano akili inapotea especially hv vitoto vya shule yeye anachoangalia ni mupenzi anamfurahia yupo radhi kufanya lolote mida ile ya mihemuko haya mambo ni magumu sana liizy.kuna kabinti nakaa nacho jirani kamemaliza form 4 juzi tulikuwa tunaongea mambo haya haya ya ngono na wanafunzi , nikwamwambia halafu wanaume wanawapenda nyie watoto wadogo maana hawatumii kondomu ,akaniambia akhaa sio mimi mimi wanaume wote wa kwangu lazima nitumie kondomu eeh nikamuuliza kwani wangapi mwenzangu akasema 5 tu ila nadhani ni zaidi kalivokaa just imagine 16 yrs na wanaume watano
 
ujue kuna vitoto vinaanza kudandiwa from 12yrs hata 10 yaani unataka vitumie masindano na mavidonge jamani watumie tu condom mweeeh?????//

Nimeweka hizo option zote ili kila mtu aangalie nini kinamfaa
si lazimishi bali ni ushauri tu. Hao watoto hata hizo condom wanatumia probably not.
Ni wadogo sana na bado wako chini ya ulinzi wa wazazi wao na hivyo vitu hapo juu
havi nunuliwi kama vitumbua mpaka ukutana na Health professional ..
 
asante AD kwa somo............ wangetumia njia ya uzazi wa mpango ingepunguza idadi ya wasichana wanaokufa kwa utoaji mimba.

Kabisa mamake.
NI Vema kujua na kuamua nini cha kufanya mapema
kuliko kutokujua kabisa..
 

Nashukuru kwa kuongeza side effects za hizi contraceptives..
Na kama mimi na wewe tujuavyo ukiwa tayari au ukitaka ku chukua
any of them lazima huyo health professional ata kueleza kila kitu unachotaka kujua
iwe kizuri au kibaya. halafu unachagua kutoka hapo..

Nia yangu ni kuonyesha kwa wasiojua kuwa kuna vitu zaidi ya
vidonge tu . asante.
 

Sasa Smiley sindo maana elimu inakuwepo ama?
Wengi unaowaongelea hawajui madhara wanayoweza kupata kiundani. Hawadhani kwamba hata wao wanaweza kupata mimba. . na hata kama wakipata wanajua watatoa tu bila kujua kwamba kutoa mimba ni process inayoweza kumuathiri afya ya mtu kimwili na kiakili.Hawajui kwamba kutoa mimba kunaweza kusababisha mtu akapoteza maisha, akapata matatizo ya uzazi na hata kushindwa kuzaa huko mbeleni au kwamba anaweza akajikuta hata akili yake inaathirika pale atakapoangalia alichofanya kwa undani.

Mtu anapokua anajua madhara makubwa yanayoweza letwa na kujiachia tu (ngono zembe) inayofuatiwa na utoaji mimba lazima atajitahidi kua mwangalifu. Na ikiwa mtu atajitahidi kua mwangalifu basi hana budi kupata elimu aliyotoa Afro ili mwenyewe achague ipi inamfaa yeye. Kama sio mpenzi wa condom (maana wapo watu wa aina hii) basi atumie namna nyingine.

Huyo binti kwa namna anavyoonekana hawajui wanaume wala hajui ni hatari ya namna gani anayochezea...kama ambavyo hata wadada wakubwa wa vyuoni nao hawajui na ndio maana kila siku wanachoropoa vichanga. So ntaendelea kuungana na Afro kwa kutoa somo la bure (sio kulazimisha watu wafuate) ili wale wanaojielewa waepuke matatizo badala ya kuyafuata.
 

Nimekuelewa Mkuu.
 
Ila sijui kwanini mimi huwa ninahisi watu wanajua ili wanapuuzia tu na kufanya makusudi kwamba hawajui au wamesahau....
 

Nakupeenda bure..
Hata like haitoshi eti LOVE batoniiii iko wapi ?

sante kwa point ulizotoa..
you are Great thinker..
 
Ila sijui kwanini mimi huwa ninahisi watu wanajua ili wanapuuzia tu na kufanya makusudi kwamba hawajui au wamesahau....

Fynest wangekua wanajua kiundani wasingethubutu kurisk maisha yao. Mashuleni hua wanasema tu kujaamiina kunasababisha mimba na sio madhara ya mimba wasiyoweza kuilea/itaka. Yani hua wanaishia kwenye kushika mimba na sio what might happen afterwards.
 
Heri tulioingia kwenye menopause tukiwa 16.
Twala bata kiulaini.
 
Nakupeenda bure..
Hata like haitoshi eti LOVE batoniiii iko wapi ?

sante kwa point ulizotoa..
you are Great thinker..
Thanx love..aisee ngoja niongee na Invizibo aelete love button kwa ajili ya yetu wawili tu...halafu hebu fanya haraka uwahi kutoka kazini leo uje unipe hii elimu zaidi
 
Fynest wangekua wanajua kiundani wasingethubutu kurisk maisha yao. Mashuleni hua wanasema tu kujaamiina kunasababisha mimba na sio madhara ya mimba wasiyoweza kuilea/itaka. Yani hua wanaishia kwenye kushika mimba na sio what might happen afterwards.
Halafu umeongelea sehemu ambayo nilikuwa nimeisahau kuigusia huku mashuleni ni kweli mashuleni wanaongea kijuujuu tu na hawaelezei kiundani madhara pia kuna wengine huwa wanaona aibu hata kuwaelezea watoto wao madhara na hali halisi..bado tuna safari ndefu sana kufikia huko tunakotaka kufika..sasa kama mtu anasema wanaopata mimba mashuleni ni kiherehere chao unategemea nini
 
Hivi mimba ina madhara?

 
useful thread mydia... mi like this. LAKINI!!! Madaktari wengi huwa wanashauri sana wasichana ambao hawajapata watoto kutotumia hizi njia "au niseme ambao hawako ktk marriage". Kila njia ina athari zake kama nawe ulivyoainisha baadhi. Nyingine huwa zinakuja kusababisha usumbufu pale mhusika anapotaka kupata mtoto. I think Condom is best kwa wasiokuwa na ndoa.
 
Shida ni kwamba miradi ya k7upanga uzazi hazimilikiwi na serikali bali ni NGO, na kila NGO ina donnors wao. Malteser ipo funded na Malta, na order of Malta ndio vatica, kwa hiyo hawawezi kukubaliana na diaphragm ama IUD sababu kwa upande wa dini ni "waste". watapendekeza zaidi vidonge na sindano. sasa 7ukizingatia sindano zina gharama ya kuwalipa ma nesi wanaona ni bora kutumia vidonge.
Wakienda field kuanzisha mradi wanafanya training ya vidonge tu sababu hayo mengine wamesha amua ofisini, hivo nesi anakua anajua sana kuhusu vidonge na vingine ni kama sisi tu, some time even less.
 

Na shukuru kwa ushauri wako mzuri .
Lakini kumbuka si lazima ndoa kufanya mapenzi na si wenye
ndoa tu ndo wanafamilia. Kwa kweli nimependa hapo ulipo pendekeza condom.
Ila kwa wale ambao wako kwenye relation na wamepima wako clean hawataki kutumia
condom nataka tu kuwaonyeshea kuna njia nyingine asante .. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…