Afro, binafsi sioni how tunaweza kuongelea Njia za kutumiwa na WANAWAKE alafu tuweke condom, au coitus interruptus (nashkuru hujaiweka).
Kama unavojua (or baybe not) hawa awenzetu ni wazito sana kutoa ushirikiano kwenye amswala ya family planing. Kuna direct correlation kati ya education na uwezekano wa wanaume kutoa ushirikiano. Na kama unavo jua in our rural communities education ni mostly primary (when there is education, that is...)
So we are left with zile njia zinazo milikiwa na wanawake wenyewe. Kwanza hizo za pills mi sizipendi sababu unaweza kuzihitaji na ukawa huna ata that moment, au usahau. It happens. Alafu zina leta too much hormones imbalances zinazo ji-express kw amood swings, kuongeza uzito, kukosa usingizi etc. Kwa kweli sizipendi.
Diaphragm siipendi kwa namna yake ya kuwekwa "in situ". kwa kweli naona kama it is not very 'comfortable' kujiwekea diaphragm na zaidi kukaa nayo for so long. Hiyo inawafaa maybe people who don't live together. sasa kama mke wa mtu unaweka 4 pm so you can havee sex at 6 pm, then at 11pm you have sex, you cant remove it neither, tou keep it. asubuhi mapema mnapasha tena, you cant remove it. By the time unaitoa saa sita mchana unajiuliza kama ile spermicide haikuzidiwa nguvu maana baba alitoa double dose...
Injection nazo zina shida: they are not reversible for the period they are set for. kama ni 3 month, ni hivo hivo, no way to reverse. the same goes (to some extent) for implants. na pia zina mood swings ingawa sio nyingi kama za pills.
To me the one way ambayo haina side effect nyingi, ambayo mwanamke anamiliki reproductive capacity yake mwenyewe na ambae na ambayo unaweza kutoa at any time you want ni... IUD.
They also have side effect/ kuna zile za copper ambazo zinaongeza sana quantity of blood during period, na zile za plastic zinapunguza sana (na sometimes kupoteza for several month). Pia sababy ya kale ka uzi kanako kaa on the cervix kuna risk ya infection. But ukiwa msafi na ukiona adverse effect ya methods zingine naadhani it is still fine.
To me it is the best way.