Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

kuchomoa dudu inaleta tabu sana,hasa mrembo anapokuwa kwenye harakati na kufika kileleni,nnakuwa nimemkatisha,vile vile mda mwingine unanogewa kwamba ntachomoa tu sekunde ijayo,kwa kweli binafsi hili jambo la uzazi wa mpango linanisumbua sana,daktari anakwambia hawezi kumshauri mtu atumie sindano/vidonge,anashauri kalenda ihusike,mtihani mwingine mrembo wangu hapendi kondom,inamuumiza na baada ya siku mbili anakojoa kwa maumivu.

Ni issue kiongozi tena mda mwingine anakwambia analia akisema toa nje huku kakushikilia huwezi toa. Ila calenda iko pouwa tatizo wanakuwa wanabadilika badilika leo sio kesho na kesho sio leo unaweza fuata vizuri ukashangaa imekamata tuu taaap. Ukitaka kujua kalenda ina risk kubwa sana kuna ambayo naitumia ya online ambayo nimeingiza details zote za mke wangu huko then na compare na yangu ya kichwani lazima kunakuwa na tofauti sasa hapo ndo kichwa kinaniuma na condom ndo hizo zingine mafuta ya reaction, nyingine bad smell hata mtu akioga baada ya muda harufu ya rubber tena:confused2::confused2::confused2::confused2::doh:
 
Habari Madaktari na experts wote.
Jamani naomba msaada ni jinsi gani mtu anaweza kapanga uzazi kwa kutumia majira ya mwezi ya mwanamke? jamani nataka kuoa ila staki mke wangu atumie madawa yao haya ya uzazi wa mpango,nataka mnipe ufaham jinsi gani ninaweza tumia mpango wa uzazi kwa njia za asili.
 
Mkuu njia za uzazi wa mpango zipo nyingi sio hiyo ya madawa tu. Kuna kijiti na kitanzi ambazo hatotumia dawa hata kidogo na ni za Muda mrefu

Hiyo ya kutumia majira mkuu itakula Kwako maana majira ya wanawake hubadilika wakati mwingine.

Nenda hospitali kutana na wataalam wa uzazi wa mpango ukiwa na mwenzako Halafu mtapewa elimu ya Njia zote ili mfanye maamuzi pamoja

All the best
 
Hii ya madawa staki hata kuisikia...maana madhara nimeyaona sana kwa wake za marafiki zangu
 
Kamanda, mimi nimetumia njia mbili yaani ya kijiti naya kalenda. Mwanzo tulitumia kalenda tukaenda kama miaka miwili bila mtoto. Baada ya kuamua kuzaa, tulipata mtoto na kuamua kuwa huru zaidi kwa kuweka kijiti. Njia yoyote ile inayo ingilia na kubadili mwenendo wa mwili wa mwanamke sio nzuri. Kijiti kilisababisha my wife kupata irregular hedhi, hedhi kuwa ndefu, kuumwa na kichwa nk. Yaani wife alikuwa anasumbuka mno, suruali nyeupe aliacha kuvaa kwani wakati wowote hedhi inaanza, pochi yake lazima iwe na pad mbili tatu za emergency. Baada ya mwaka tukaamua atoe kijiti na sasa tumerudia kalenda na hakuna shida. Cha msingi kwa kalenda lazima mshirikiane kuweka kumbukumbu. Yai la mwanamke hushuka kwenye mfuko wa uzazi na kukaa hapo kwa masaa 24 siku ya 14 kwa mwanamke wa mzunguko wa siku 28. Mbegu za mwanaume huwa hai kwa masaa 48 hivyo ukitaka kukwepa, siku wife ana anza hedhi hesabu moja hapo rusha roho mpaka siku ya saba halafu simama mpaka siku ya kumi na nane tangia aanze baada ya hapo endeleeni kutiana mpaka hedhi nyingine. Ukifuata hivyo hutapata mtoto kamwe. Ninaitumia na huu ni mwaka wa nne sasa ngoma droo. Ukitaka wife anenepe tumbo hovyo hovyo tumia njia za madawa.
 
Asante sana mzee wa usafi,Mungu akubariki sana.Mimi staki kabisa matumizi ya madawa haya naogopa kumharibu mke wangu bure.
 
siku wife ana anza hedhi hesabu moja hapo rusha roho mpaka siku ya saba halafu simama mpaka siku ya kumi na nane tangia aanze baada ya hapo endeleeni kutiana mpaka hedhi nyingine.

Mkuu embu nipe Shule zaidi hapo maana sijakuelewa. Mnaacha kukutana kuanzia siku anayoanza hedhi mpaka siku ya 18 tangu aanze? Embu dadavua kidogo hapo
 
Me nadhan unge chora kalenda then ukaweka kama mfano kwa kuonesha sk za htr na siku ziszo za hatar nadhan weng tungeelewa
 
Xfactor , kuna watu wengine huwa hawaoni kinyaa hivyo unaruhusiwa kurusha roho kuanzia siku ya kwanza. Kwa wale tunao ona kinyaa, subiri damu iishe mara nying wangu huisha kati ya siku ya nne au ya tano. hapo tuna Raha tupuisha mpaka usiku wa kuamkia siku ya 8. Hapo sasa, tuna geukiana migongo mpaka siku ya kumi na nane kuamkia siku ya 19......ni ngono sana mpaka aanze hedhi tena. kaka kwa mwendo huu utaona kuwa una acha kufanya ngono kwa siku kumi tu kati ya siku 18 au 20 hivi...
 
......hii njia ya kalenda ni nzuri iwapo mtasikilizana wote, ila kwa wale wanaume ngono kama chakula hawaiwezi.....kwenda siku 10 bila mchezo ni ngumu kwa baadhi ya wanaume.

Ila calendar ni njia nzuri sana kama ukiifuata ipasavyo. Mie mwenyewe hizo njia nyingine huwa naogopa kama ukoma.
 
Je ni kweli kwamba njia za uzazi wa mpango zinawaathili wanawake kisaikolojia?
 
Wasalaam

Hivi wakuu hili swala la uzazi wa mpango ni nani hasa anaetakiwa kufunga au kujizuia, maana hapa home tunawatoto wawili na kwetu tunaona imetosha ila mke wangu hataki kufunga analazimisha mimi ndio nifanye hivyo, nimejitahidi sana kumuelezea na kubembeleza kwao ilivyorahisi kufanya hivyo lakini amekuwa mgumu kuelewa.

Mara anasema basi tutumie condoms na mi siwezi kufanya hivyo wakati nipo kwenye ndoa sasa imebaki kubahatisha siku ambazo ni salama kwake mi inanikera sana mliwezaje wanandoa wenzangu.

Mnalichukuliaje hili swala, nyie mliwezaje kuwashawishi na wanawake wa siku hizi mbona mnakuwa viburi kiasi hiki.

Mkuu mimi siwashauri mfunge kizazi.ni bora kutumia njia za uzazi wa mpango .
 
First ni muhimu ujitambue wewe binafsi vp mzigo ulionao unakutosha?na unaweza kuwatunza vyema na hapo ndo unachukua uamuzi.

Second unamshirikisha mwenzio kuhusu wote kufunga uzazi sababu ni ngumu kumwambia mmoja funga wakati wewe bado risasi ziko ok,kama mnafunga fungeni wote,mimi niliamua na tukafanya maamuzi na wote tumefunga na hakuna tatizo.
 
Wanawake huwa wanazuia kwa njia ya vidonge na njiya ni nyingi lakini madhara ni mengi sana.....kubali kumsaidi mwenzio kwenye hilo. Usiwe selfish
 
sio rahisi kama unavyofikiria.... na kwanin kujiangaisha hivyo wakati kuna njia nzuri zaidi

Yani bora ujipange zile siku za hatari upige risasi zako nje, kuliko kutumia dawa sijui vodonge,mara vijiti,mara sindano,
Madhara yake nimakubwa sana,mimi na Mume wangu tuna fanya hivyo.....
 
Back
Top Bottom