Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Habar zenu waungwana mwenye ujuz kuhusu uzaz wa mpango na njia zake namuhitaj PM plz
 
Habari Jf doctors!!
Naomba kujua Kama kuna madhara kuchoma sindano ya uzazi wa mpango na baada ya muda kidogo muhusika akatumia kilevi.
Nawasilisha.
 
Sio vizuri kutumia dawa pamoja na kilevi hata kama ni kwa utofauti wa masaa kadhaa,

Kwani huezi kusubiri kwanza kutumia kilevi?
 
Mambo vp wadau

Nilikua naitaji kujuzwa kama kufunga uzazi kwa njia ya njiti ina madhara yoyote kiafya kuna mwenzangu amefunga uzazi kwa njia hiyo yaani ana bleed tu damu hazikati mwezi wa 4 huu... Na je mwanamke anapofunga uzazi hua anapimwa magonjwa gani ili aweze kufunga uzazi kwa njia ya njiti

Tafadhali naombeni msaada wenu
 
MAMBO VP WADAU

NILIKUA NAITAJI KUJUZWA KAMA KUFUNGA UZAZI KWA NJIA YA NJITI INA MADHARA YOYOTE KIAFYA KUNA MWENZANGU AMEFUNGA UZAZI KWA NJIA HIYO YAANI ANA BLEED TU DAMU HAZIKATI MWEZI WA 4 HUU... NA JE MWANAMKE ANAPOFUNGA UZAZI HUA ANAPIMWA MAGONJWA GANI ILI AWEZE KUFUNGA UZAZI KWA NJIA YA NJITI

TAFADHALI NAOMBENI MSAADA WENU
Ise pole sana ngoja wakuje
 
MAMBO VP WADAU

NILIKUA NAITAJI KUJUZWA KAMA KUFUNGA UZAZI KWA NJIA YA NJITI INA MADHARA YOYOTE KIAFYA KUNA MWENZANGU AMEFUNGA UZAZI KWA NJIA HIYO YAANI ANA BLEED TU DAMU HAZIKATI MWEZI WA 4 HUU... NA JE MWANAMKE ANAPOFUNGA UZAZI HUA ANAPIMWA MAGONJWA GANI ILI AWEZE KUFUNGA UZAZI KWA NJIA YA NJITI

TAFADHALI NAOMBENI MSAADA WENU
Jonas wakike[emoji15] sijisumbui kukushaur
 
MIMI WA KIUME NIMESEMA KUNA MWENZANGU NIKIMAANISHA MPENZI WANGU AMEFUNGA UZAZI KWA NJIA HIYO LAKINI DAMU HAIKATI MWEZI WA NNE SASA... NDIO MAANA NAITAJI KUJUZWA ILI NIMSAIDIE
Jonas wakike[emoji15] sijisumbui kukushaur
 
Hamna njia salama ya uzaz wa mpango.njiti inatembea vizur sindano ndo majang yaleyale.vdonge haviyeyuki kwa maana hiyo bora utumie kalenda
 
Hamna njia salama ya uzaz wa mpango.njiti inatembea vizur cndano ndo majang yaleyale.vdonge haviyeyuki kwamaanahiy bora utumie kalenda

DAH KUMBE NJIA ZOTE NI OVYO... CALENDA HAITABIRIKI... NA NIMESIKIA AKITOA TU HIYO NJITI ANABEBA MIMBA FASTER YAANI HATOCHUKUA MUDA
 
Nshawaona wengi wenye tatzo kama hilo.. fanya fasta mpeleke hospital wamtoe hivyo vijiti.. afu baada ya hapo kaa nae mkubaliane njia sahihi ni 2 tu.. kinga (condom) na kalenda.. wengi kalenda wanashindwa kuitumia kwa kupenda vyepes ila vyenye madhara makubwa sana.. lazima haujue vzur mzunguko wake na ww ukimsaidia.. hapo hapo unaweza kutumia withdraw siku ambazo ni danger. . Walio makini kalenda haisumbui hata kdg...
 
Back
Top Bottom