Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

hiyo ya njia ya pili ni ya kila mtu ila hizi nyingine naona zimekaa kihospitali zaidi..
ngoja nikampatia somo kishudundo changu..
 
Kusema ukweli hili somo ni zuri sana!! Kuliko kuchoropoa viumbe wasio na hatia, kuvuruga mipango yako kwa mimba zisizotarajiwa(especially wanafunzi na wale wasiojiweza kulea ambao wengi wao huishia kutupa au kutelekeza watoto), ni bora kabisa kuchukua hatua stahiki mapema! Wimbo wa ku-abstain umeshakua sugu hata kwa hawa vijana wadogo, elimu kama hii itasaidia walau kupunguza matokeo hasi yaletwayo na mimba zisizotarajiwa. Asante sana afrodenzi, mi mependa iyo heading pia..........imebeba ujumbe mzito na wa maana sana!!!! Stay blessed dear....
 
Inabidi hili somo alipeleke mpaka mashuleni na mitaani.
 
Asikwambie mtu mama mchungaji , hali si nzuri. Kwa kuogopa kufukuzwa shule au hofu ya reaction ya wazazi, wengi wa wanafunzi wanaopt for abortion as if ni njia nzuri sana. Wamama wanaoishi na mabinti wa kazi vilevile sio mbaya wakatumia muda kidogo kuwapatia na wao pia elimu hii yaeza kuwasaidia kwani nimeshaona mabinti wengi wakirudi makwao na mizigo wasioweza hata kuihudumia!!
 
Najua kakondoo,
Tatizo hua wanafanya hivyo bila kujua kwamba kuna madhara yanayoweza kujitongeza kama sio wakati wa kutoa basi on the long run.

Natamani kweli watu wanapoenda kutoa wangekua wanaenda huku wakiwa na ufahamu wa yote yanayoweza kutokea wakati/baada ya kutoa.
 
Halafu umeongelea sehemu ambayo nilikuwa nimeisahau kuigusia huku mashuleni ni kweli mashuleni wanaongea kijuujuu tu na hawaelezei kiundani madhara pia 1. kuna wengine huwa wanaona aibu hata kuwaelezea watoto wao madhara na hali halisi..bado tuna safari ndefu sana kufikia huko tunakotaka kufika..sasa kama 2. mtu anasema wanaopata mimba mashuleni ni kiherehere chao unategemea nini
Mkuu, umezungumzia point nzuru sana.

1. Huko mashuleni ndio balaa zaidi, walimu kama wanaeleza hii ni kwa juu juu tu kwani wakisema kwa undani (wengine) watakuwa wanafunga milango yao. Tukumbuke walimu ni sehemu kubwa ya wanaofanya mapenzi na wanafunzi.

2. Ama kwa kuona haya, au bado kuliona tendo la ngono ni taboo, wazazi wengi hawawaelezi watoto wao juu ya hizi hatari. Kama elimu ingekuwa inatolewa kwa wazazi na watu wa karibu kwanza, pengine hili tatizo lisingekuwa kubwa kiasi hiki. Kitu cha ajabu, wazazi wanashindwa kumweleza mtoto madhara ya ngono zembe lakini wanawafunda jinsi ya kumridhisha mume. Mafunzo yale wasichana wanayatumia kuwafurahisha wanaume kabla ya waume.

3. Tatizo la tatu ambalo ndio kikwazo kikubwa kwa elimu ya ngono ni shinikizo la dini. Watu wa dini wanajua tu kusema njia za kuzuwia mimba ni haramu (mkazo mkubwa ukiwa kwa matumizi ya kondom ambayo ndio salama na isiyoleta usumbufu wowote kwa watumiaji zaidi ya ulafi wao wa kutaka kutwanga kavukavu.

Ni kweli Mkuu, bado tuna safari ndefu sana.
 
Hiyo point ya kwanza umenikumbusha wakati mwalimu anatufundisha Biology mambo mengine alikuwa anafunika anayapitia juu juu sasa sijui alikuwa anaona soo au vipi na bado hali hii inaendelea kuwepo kwenye shule nyingi tu hapa bongo
 
Anaona soo wakati mtakutana nayo?
 
Najua kakondoo,
Tatizo hua wanafanya hivyo bila kujua kwamba kuna madhara yanayoweza kujitongeza kama sio wakati wa kutoa basi on the long run.

Natamani kweli watu wanapoenda kutoa wangekua wanaenda huku wakiwa na ufahamu wa yote yanayoweza kutokea wakati/baada ya kutoa.

Au wangekuwa wanashuhudia the way (the real act) mtu anavotolewa mpaka anaukata........... labda wangeogopa!!!
Kuna mdada mmoja aliponea chupuchupu weeee.................sasa hivi ukimtajia suala la abortion jicho linamtoka ka nini, anakwambia unataka nifee!! Mi mwenyewe siku hiyo baada ya kutoka kutoa alikuja nyumbani............mbona nilimuogopa yakhe??? Wengine wote walijiweka pembeni mi ndo nikajiitosa kumsaidia, haya mambo hayafai kabisa....

I hope you are well mama mchungaji..............the same to kakondoo!!
 
Ndio hivo. Ikiwa serikali itaamua kuingilia kati basi itakua sawa. Nchi zingine donnor anasema anahela ngapi, alafu serikali inampa action plan ya kwaka kufatana na priorities. Sasa huku donnor ndio anachagua partners, mradi, targetd populaiton, kila kitu. Replication ya programs, overlap ya NGO na mengine mengi, huku zote ziki-concentrate katika eneo ambazo gari zinafika kiurahisi wakati wenye sida wako ndani zaidi.
Tatizo lingine ni pale wanapo kuja mwezi huu, wanatoa dawa ya miezi 3, alafu hawaonekani tena hadi mwaka kesho. Shida ni nyingi dada yetu, na suluhisho0 litapatikana serikali (mostly) itakapo amua kurudisha order. Ni bora zaidi NGO zisiwepo kabisa.
Samahani kwa kwenda nje kidogo ya mada, nilitaka tu kuonesha kwamba hata watu wakijua juhusu njia zingine (zaidi ya vidonge) wanaweza kushindwa kupata huduma sababu sekta nzima haija kaa sawa (institutional framework)

Wao Mwali my dear Kwanza kabisa hukwenda nje ya mada pili
Ulichoandika hapo kwa kweli kinahuzunisha sana. Na hii ya kungoja
serikali ndo inatumaliza kabisa. Serikali haijui kwaini tu masikini wadhani
watajali haya mambo ya uzazi kweli. Serikali yetu ni debe tupu kwa kweli.

Kwa kweli marekebisho ya hali ya juu yanatakiwa kufanyika. Hii kitu si jambo
la kuchezea au kuangalia juuu juu tu kwa kweli . Tukiangali kwa undani zaidi
kama watu watapata hii elemu , watoto wa mitaani watapungua, Vifo vinavyotokana
na utoaji mimba vitapungua.

Nijua avyo mimi vidonge unachukua kila mara si miezi mitatatu tu.
Hizo dawa kama wameamua kutoa kwa miezi mitatu tu. basi wanatakiwa
kurudi kila baada ya miezi hiyo. kama wanaona usumbufu au hakuna fedha za kutosha
ni vema kutafuta Long term solution na kuwaelimisha wanawake kuhusu njia nyingine .
something have to be done .
 
Au wangekuwa wanashuhudia the way (the real act) mtu anavotolewa mpaka anaukata........... labda wangeogopa!!!
Kuna mdada mmoja aliponea chupuchupu weeee.................sasa hivi ukimtajia suala la abortion jicho linamtoka ka nini, anakwambia unataka nifee!! Mi mwenyewe siku hiyo baada ya kutoka kutoa alikuja nyumbani............mbona nilimuogopa yakhe??? Wengine wote walijiweka pembeni mi ndo nikajiitosa kumsaidia, haya mambo hayafai kabisa....

I hope you are well mama mchungaji..............the same to kakondoo!!

Dah. . . pole yake huyo mwanadada.
Mi kuna mtu namjua japo alitoka huko salama aliapa hatorudia tena.

Mama mchungaji yuko gado kakondoo, nafurahi kusikia na wewe u'mzima.
 
Back
Top Bottom