Ulimwengu ana uso go wa kuuziwa uraia, wakati alitumikia TANU /CCM. Hata ange chukua Lissu urais, huyu bwana angeendelea kuuumia tu! Maana alikubali kununua uraia wa Tanzania. Anachukia watanzania wote!Nimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi.
Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako.
Wacha kumlisha maneno ya hovyo kama hayoUlimwengu ana uso go wa kuuziwa uraia, wakati alitumikia TANU /CCM. Hata ange chukua Lissu urais, huyu bwana angeendelea kuuumia tu! Maana alikubali kununua uraia wa Tanzania. Anachukia watanzania wote!
Hayo yanasemwa kwa sababu ni mabaya mno hayatakiwi kurudiwa na yeyote. Kuna yake mapungufu yanatokea ambapo mtu ana nia nzuri kwa nchi. Lakini aliyofanya Magufuli mengi ni ujambazi kabisa inabidi kukemea.Nasubiri aseme na mazuri pia.
Kila mtu ana upande wa anaoutaka. Wapenda maendeleo tuliona mazuri tuu.
Si kweli. Ulimwengu alianza kumkosoa Mkapa mara alipoanza kufanya madudu, japo alimkampenia sana tu. Humjui Jenerali. Mkapa kwa hasira ndio akampokonya uraia. Hapo Mkapa akawa ameanzisha mchezo mchafu sana, ambapo Magufuli kautumia sana hata kwa mapadre na Maaskofu waliomkosoa.Ulimwengu ana uso go wa kuuziwa uraia, wakati alitumikia TANU /CCM. Hata ange chukua Lissu urais, huyu bwana angeendelea kuuumia tu! Maana alikubali kununua uraia wa Tanzania. Anachukia watanzania wote!
Inaweza ikawa kweli aisee!!Nadhani wengi walisahau kuchimbua akili zao baada ya mafunzo ndio maana nchi mwendo ki afande afande.
Ni kweli ndugu. Ulimwengu ni "independent and free thinker" tangu zamani. Hana akili za kushikiwa kama sampuli ya wale wasomi wengine wanaosema walitolewa majalalani!Si kweli. Ulimwengu alianza kumkosoa Mkapa mara alipoanza kufanya madudu, japo alimkampenia sana tu. Humjui Jenerali. Mkapa kwa hasira ndio akampokonya uraia. Hapo Mkapa akawa ameanzisha mchezo mchafu sana, ambapo Magufuli kautumia sana hata kwa mapadre na Maaskofu waliomkosoa.
Kumpokonya mtu uraia, kisa anakukosoa, hasa kama anatokea mikoa ya pembezoni. Ni kweli hilo lilimuumiza sana Ulimwengu, lakini huyu ni mpigania haki, jasiri, tangu utotoni, alipokuwa chuo kikuu walikwenda Msumbiji kusaidia vita ya ukombozi. Ni mtu wa vitendo na anafanya anachoamini. Siyo mchumia tumbo. Tatizo tumezoea wazee wanafiki na wachumia tumbo. Ukiona mtu jasiri unaamini tu ana matatizo. Si mtu wa kawaida
Jeneral Ulimwengu kwa uchokozi tu hajambo! Kalusha jiwe gizani limewakong'oli mazuzu 😀😀Nimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi.
Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako.
Huyu karibu anarudi jalalani kwa washikaji wake akina nzi
Mizania inaelemea kwenye mabayaNasubiri aseme na mazuri pia.
Kila mtu ana upande wa anaoutaka. Wapenda maendeleo tuliona mazuri tuu.
Huyu Mzee ni mpumbavu!Nimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi.
Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako.
Ulimwengu na Ndugai
View attachment 2007881
Yeyote aliyekuwepo 9/12/1961 ni raiUlimwengu ana uso go wa kuuziwa uraia, wakati alitumikia TANU /CCM. Hata ange chukua Lissu urais, huyu bwana angeendelea kuuumia tu! Maana alikubali kununua uraia wa Tanzania. Anachukia watanzania wote!
Hayo mazuri ongea wewe, sisi tumeona mabaya matupu.Nasubiri aseme na mazuri pia.
Kila mtu ana upande wa anaoutaka. Wapenda maendeleo tuliona mazuri tuu.
Unapoweka uzi halafu ukataka kuambatanisha kitu then maneno weka separate na attachment kwasababu kuna simu zinakataa kuonyesha hiyo attachment.Nimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi.
Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako.
Ulimwengu na Ndugai
View attachment 2007881