Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

Nimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi.

Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako.

Hawa wazee akina Jenerali wameisaidia nini nchi? Zaidi ya kupiga domo na siasa hakuna chochote cha maana. Ni kupiga stori tu no actions.

Magufuli alikataa kuwa rais mediocre wa kuwa bora liende, alikuwa pale kufanya kazi na vitu vitokee na kazi aliifanya. Ndiyo hatupo nae kimwili lakini kazi zake zinaiishi. Na Jenerali yupo sahihi katika utabiri wake, nchi hii bado kuna watu kibao wenye mapenzi mema na nchi yao ambao kwao siasa ni vitendo, waliovaa na kuishiba nia na falsafa ya Magufuli kuiona Tanzania inapiga hatua fasta. Tanzania inawahitaji sana watu kama hawa!
 
Nawewe kunywa sumu basi mkaungane huko
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Huyu mzee ugali wake wa Gazeti la Raia Mwema ulitingishwa kidogo ndiyo maana anahaha. Wengi wanaoponda serikali ya awamu ya tano walikuwa wanafanya biashara za kanjanja kanjanja wakazinguliwa.
Uzuri umesema wengi sio wote
 
Wala siyo uzee nadhani nchi yetu inaongoza kwa kuwa na wazee wajinga na wanafiki kuliko nchi zote duniani, ni hawa wachache tu ndiyo wanaojielewa

Huyu pia ni wale wale. Angekua tofauti, angekaa kimya kama alivyokuwa kimya kipindi kile au angesema kipindi kile kama anavyosema sasa.
Lakini lolote zaidi ya hilo linalotoka kwa wale wanaoficha jinsi walivyo.
 
Wao wakishiba wanaona kila mtu ana maendeleo
Kweli!! Ndo maana wanauimba sana wimbo wa "Uchumi wa Kati, Nchi ya Vi-wonder". Wanakaa mijini wakiyaimba hayo mapambio huku wakirukaruka toka mji hadi mji, nchi hadi nchi na wakiugua hawatibiwi hapa kwa kuwa level yao haiko hapa.
Bajeti yote inaishia kwao ila wanyonge wakitaka huduma za kijamii, hawana budi kuchangia - mwenye kushindwa huitwa mpinga maendeleo...
Hawana cha maana zaidi ya chaguzi. Wameingia madarakani juzi, wako bize wanahangaikia uchaguzi wa 2025 tena kwa kodi zetu... ni kama vile tuna laana fulani ya kipekee
 
Back
Top Bottom