Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

Legacy ya JPM ni vigumu sana kuivunjavunja hata kama hawa wazee watakuja na maneno makali kama haya. Ni kweli JPM alikuwa na mapungufu kama mwanadamu ila ni ukweli pia alikuwa kiongozi mwanamageuzi. Ukitaka kujua namna huyu mwamba akivyopiga kazi tazama hotuba yake wakati anafungua bunge mwaka 2015 na hotuba ya kufunga bunge mwaka 2020. Binadamu tutamtukana kwa tabia zetu za kuona mabaya pekee lakini historia itamkumbuka na kumheshimu
Nimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi.

Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako.
 
Legacy ipi hiyo?
 
Yaan anapoteza muda mwingi ,anamwingelea MTU ambaye hayupo.Namshauri huu muda anaopoteza angekaa na wanafamilia wake ,amuombe Mungu wake.Kwa kuwa uzee umeshamkamata.
,
Hutaki kajinyonge
 
Ha haaa 😅😅🐧🐧 Umenitoa jalalani. Haaa
 
Bila hela mfukoni ni kazi bure ndugu, hata Ethiopia wana ma flyover lakini watu ni masikini wa kutupwa hadi wanaikimbia Nchi yao.

CHADEMA tutaleta wawekezaji wa kutosha ili Watanzania wapate ajira za uhakika zenye kulipa tutaongeza kima cha chini cha mishahara hadi milioni.
Nikajua ungetoa mfano wa flyover za Marekani na Ufarana.

Nakoelekea nitakupuuza maana unaonekana kicha maji.
 
Nimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi.

Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako.

Mmawia siyo uzee. Ni mtu mwenye akili na busara tu. Huyu jamaa ni level nyingine tangu zamani. Kwani kuna wazee wangapi ambao akili zao ziko fyongo? Nadhani hukumtendea haki kwa kuweka heading kama hiyo. Kina Kikwete ni wazee na wamekuwa marais lakini mawazo yenye manufaa kama haya hawana.
 
Wala siyo uzee nadhani nchi yetu inaongoza kwa kuwa na wazee wajinga na wanafiki kuliko nchi zote duniani, ni hawa wachache tu ndiyo wanaojielewa
Ndugu yangu kumbe ulishaliona hili. Na mimi nimempa hii tahadhari kabla sijasoma mchango wako. Nimemwambia amemkosea sana Ulimwengu kwa kusema uzee ndiyo umemfanya awe na busara wakati wako wazee wengi wajinga kupitiliza. Huyu ni mtu mwenye msimamo tangu zamani. Ni watawala hawataki tu watu wenye maono kama hawa lakini huyu alitakiwa awe hazina ya Taifa kwa mawazo.
 
Legacy ya JPM ni vigumu sana kuivunjavunja hata kama hawa wazee watakuja na maneno makali kama haya. Ni kweli JPM alikuwa na mapungufu kama mwanadamu ila ni ukweli pia alikuwa kiongozi mwanamageuzi. Ukitaka kujua namna huyu mwamba akivyopiga kazi tazama hotuba yake wakati anafungua bunge mwaka 2015 na hotuba ya kufunga bunge mwaka 2020. Binadamu tutamtukana kwa tabia zetu za kuona mabaya pekee lakini historia itamkumbuka na kumheshimu
Hapo ndipo uwezo wako ulipoishia. Siyo kosa lako hata kidogo.
 
Mmawia siyo uzee. Ni mtu mwenye akili na busara tu. Huyu jamaa ni level nyingine tangu zamani. Kwani kuna wazee wangapi ambao akili zao ziko fyongo? Nadhani hukumtendea haki kwa kuweka heading kama hiyo. Kina Kikwete ni wazee na wamekuwa marais lakini mawazo yenye manufaa kama haya hawana.
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri.
 
Ndugu yangu kumbe ulishaliona hili. Na mimi nimempa hii tahadhari kabla sijasoma mchango wako. Nimemwambia amemkosea sana Ulimwengu kwa kusema uzee ndiyo umemfanya awe na busara wakati wako wazee wengi wajinga kupitiliza. Huyu ni mtu mwenye msimamo tangu zamani. Ni watawala hawataki tu watu wenye maono kama hawa lakini huyu alitakiwa awe hazina ya Taifa kwa mawazo.
Nimeupokea kwa mikono miwili ushauri wako mkuu.
 
Huyu mzee taahira yeye kwake hakuna jema! Anajidai yuko perfect! Wewe kila utawala kuanzia Nyerere anapinga tu mpaka ataingia kabirini yuko hivo! Na uzee ndo huo saa kumi na mbili tayari! Stupid sana huyu!
Huyu ndiye mzee wa taifa maana akili zake muda wote zinafanya kazi .

Siyo akili magimbi kama zenu kila siku kusifia na kuimba mapambio hadi akili zinaganda.
 
Back
Top Bottom