Gnyaisa
Member
- Jul 13, 2021
- 23
- 24
Legacy ya JPM ni vigumu sana kuivunjavunja hata kama hawa wazee watakuja na maneno makali kama haya. Ni kweli JPM alikuwa na mapungufu kama mwanadamu ila ni ukweli pia alikuwa kiongozi mwanamageuzi. Ukitaka kujua namna huyu mwamba akivyopiga kazi tazama hotuba yake wakati anafungua bunge mwaka 2015 na hotuba ya kufunga bunge mwaka 2020. Binadamu tutamtukana kwa tabia zetu za kuona mabaya pekee lakini historia itamkumbuka na kumheshimu
Nimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi.
Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako.