Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kama wazazi wako walikuwa na uraia wa nchi nyingine - ya jirani hasa!Yeyote aliyekuwepo 9/12/1961 ni rai
Of course huyu babu hajawahi Kaa kimya. Amekuwa kila wakati akionesha bila chenga msimamo wakeNakumbuka hiyo misimamo yake iliwahi kumponza hadi akahojiwa uraia wake
Na huyu Mzee hajawahi kuogopa chochote maishani mwake,ndio maana alifika pahali akavuliwa mpaka uraia wake enzi za MkapaKwa sasa hana cha kuogopa maaana hana cha kupoteza
Halafu akishatamka inakusaidia nini?wanaokuuza huwaona mpaka yeye aje akuuze mara ya pili?Ana nini cha kukumbukwa huyu Mrundi jamani mwee!! halafu mbona mambo yake ya uraia yaliishia hivi ivi hakuwahi kubali wala kukanusha kijijini kwao wapi kwanza, asije tuuza kwa kagame lool!
Yeye kila siku ni Dali salaama tuuuuu!! sijawahi kumsikia kuwa leo yuko kijijini kwao Msoga, au Mogabhiri walaaaa! Ulimwengu weyey km kwenu Musoma si ukasalimie?
atamke je yeye ni Mnyarwanda kweli au mburundi au mbongo wa mkoa gani? kiji? tarafa? hapo ndo tutaenda sawa! vinginevyo arudi kambini Mazimbu! au Ulyankuru! mpaka mambo yake yakae sawa! sawa!.....
Mzee wa wapi vile?
Rudia tangazo la nyerere siku ya uhuruSiyo kama wazazi wako walikuwa na uraia wa nchi nyingine - ya jirani hasa!
Urais ni charisma Wala siyo wingi wa akili. Jenerali anaweza akawa mzuri kwenye critique, lakini ukamuachia Leo kazi ya Samia, utashangaaChadema 2025 twende na Ulimwengu.
Cheki hapa chini namna ambavyo MRUNDI amekuwa akitumiwa na taifa lako wakati nyie Watz (akina Ndugai mpo)Ana nini cha kukumbukwa huyu Mrundi jamani mwee!! halafu mbona mambo yake ya uraia yaliishia hivi ivi hakuwahi kubali wala kukanusha kijijini kwao wapi kwanza, asije tuuza kwa kagame lool!
Yeye kila siku ni Dali salaama tuuuuu!! sijawahi kumsikia kuwa leo yuko kijijini kwao Msoga, au Mogabhiri walaaaa! Ulimwengu weyey km kwenu Musoma si ukasalimie?
atamke je yeye ni Mnyarwanda kweli au mburundi au mbongo wa mkoa gani? kiji? tarafa? hapo ndo tutaenda sawa! vinginevyo arudi kambini Mazimbu! au Ulyankuru! mpaka mambo yake yakae sawa! sawa!.....
Walisema wengi wakapotezwaTatizo haya wanayasema baada ya Magufuri kufariki mtu mzima mwenye hekima na busara alitakiwa kutokuwa mwoga na akasema akiwa hai. Vinginevyo ni unafiki mtupu hata kama yana maana
Ndio maana Nyerere alikataa haya mambo ya kuhoji hoji uraia wa watu kwani ukichunguza sana hayo unaweza ukakuta Mkapa alikuwa ni wa Msumbiji na Magufuli ndio kabisaa Mnyarwanda na Kinana Msomali piwa.Ana nini cha kukumbukwa huyu Mrundi jamani mwee!! halafu mbona mambo yake ya uraia yaliishia hivi ivi hakuwahi kubali wala kukanusha kijijini kwao wapi kwanza, asije tuuza kwa kagame lool!
Yeye kila siku ni Dali salaama tuuuuu!! sijawahi kumsikia kuwa leo yuko kijijini kwao Msoga, au Mogabhiri walaaaa! Ulimwengu weyey km kwenu Musoma si ukasalimie?
atamke je yeye ni Mnyarwanda kweli au mburundi au mbongo wa mkoa gani? kiji? tarafa? hapo ndo tutaenda sawa! vinginevyo arudi kambini Mazimbu! au Ulyankuru! mpaka mambo yake yakae sawa! sawa!.....
Nasubiri aseme na mazuri pia.
Kila mtu ana upande wa anaoutaka. Wapenda maendeleo tuliona mazuri tuu.