Uzee huwa unaambatana na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza busara, kumbukumbu na kurudi kwenye hali ya utoto

Uzee huwa unaambatana na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza busara, kumbukumbu na kurudi kwenye hali ya utoto

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Kama kuna kipindi tunatakiwa kuwa karibu na wazee wetu ni kipindi wanapo kuwa na umri mkubwa.

Wazee wetu wanapo kuwa na umri mkubwa huwa wanakumbwa na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza maarifa na busara, akili zao hurudi nyuma na kuwa za kitoto. Nashauri vijana wenzangu ambao wazee wao bado wanapumua, tuwqchunge vizuri wazee wetu, tuwqdhibiti maana tabia zao huwa kama watoto, tusipo wadhibiti tutaabika sisi sio yeye.

Chukia hatua, wazee wetu wanazeeka vibaya.
 
Back
Top Bottom