Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

Duuh kurudi zama za mawe za kati kabla ya ugunduzi wa moto ni hatari sana.

Ila imekaa poah ngoja ningoje nionje huo uzee nione ubaya wake, naweza jaribu.
Inasaidia kweli .
Nakumbuka kuna kipindi nilihisi uzito wangu umezidi kidogo kwa sababu nilikuwa nahisi uchovu mno hata kuinama kufanya shughuli ndogo tu nikinyanyuka nahema kama kuna bonge la kaz nilikuwa nafanya.

Niliamua kula matunda na mboga mboga+maji tu kwa mwezi mmoja ili nipungue uzito kidogo kweli nilipungua karibu kilo moja lakin kitu kingine niliona improvements za ngozi yangu ilikuwa nzuri kiasi na si kavu.

Hivyo ni kweli inasaidia sana.
 
Mkaribishe hapa tumtengenezee stek ya kitimoto cha kuchoma na ndiz za kuchoma na kachumbar ya ukwel halaf tunamshushia na pepsi baridiiii pale airtel kwa chota banana ukonga,,,hatathubutu kula hayo matunda kila siku.....[emoji23]
 
I wish ningekuona and wewe uanze kula hizo mboga na matunda mi niendelee na michanganyiko ya nyama. Then after twenty years tu judge nani kazeeka.

Sikatai kula vibaya kunaweza kukaharibu mwili.

Lakini pia kula mboga tu hautengenezi mwili. . .yaani hakusaidii kutozeeka .
Madam ukifika 70 utaonekana 70 tu regardless ulikua unakula vizuri vip?

So usijitese kabda kama ni hobby yako
 
Ukute mzaramo au mdigo kaukalia ubwabwa kwenye jiko la mkaa na nazi za kutosha samaki sato asie na kichwa alienonaaa na kachumbar yenye pilipili kiasi aaaaah we acha kabsa wacha nizeeke tu jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesema component moja tu ya chakula vp kuhusu mazoezi hana hiyo segment kweli?
 
Lakini kwa sasa kilimo kimetawaliwa na usasa ( dawa za kumwagilia & sindano) hivyo unaweza athirika zaidi na hayo manyanya kabichi karoto mbichi toka shambani moja kwa moja
 
Lakini kwa sasa kilimo kimetawaliwa na usasa ( dawa za kumwagilia & sindano) hivyo unaweza athirika zaidi na hayo manyanya kabichi karoto mbichi toka shambani moja kwa moja

Tena hapo unakaribisha minyoo kabisa
 
Mh wakati unakula unakaa ksribu na mlango wa toi nini maana likijichanganya haliwez kuleta mlipuko na mafuliko ya ajabu mazoea tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…