Uzee umekuja ghafla kwenye maisha yangu

Mi mwenyewe umri umesonga sana, nakaribia 50 kabisa ila mchezo wa kubambia (Dunga dunga) kwenye public transport ndo umeanza kunikolea.

Yaani naweza kupark kigari changu ilimradi nipande mwendokasi nipate maraha njiani. Napitilizwa vituo ila sijali kabisa. Sijui nirudisheje siku nyuma?
 
Mbagala lini mwendo kasi umeanza?
 
Kula matunda mbalimbali na kufanya mazoezi, pia kuchimba chimba migodi kunazeesha
 
Uzee ni miaka 75 na kuendelea, umefika huko?
 
Mimi ninavyoupenda uzee, nasikia raha kuitwa mama, hata binti yangu wa kazi tunabishana namwambia niite mama yy anagoma. Anasema mimi ni dada yake.!!
Kuna kitoto cha kike nakaa nacho cha wifi yangu nilikigomea kuniita aunt, kinaniita mama basi nasikia raha 🥰🥰🥰

Natamani mtoto wa sisy akue haraka apate mtoto niiitwe bibi mdogo 🤣
 
Unapitilizea vituo huku una kagali kako umekaacha sehemu
 
 
nipende kuwaambia enyi nyote mnaolalamika mnasalimiwa sjui mnaitwa mababu kama huna 58+ basi tafuta sana pesa upate sura yako halisi unaonekana babu kwakua huna mpunga zisake sana ukizeeka utaiwa kikongwe au hata babu mchawi maana utakua umechakaa sana...
 
Acha kudeka Mzee ,andaa watu wakukuanika na kukurudisha ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…