Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,138
Pole mkuu vp umefikia wp? At last jana saa 5 usiku yangu imetoka. Nimetozwa 14 days storage charges ambayo sikuisababisha. Nimejaribu kubishana nao HESU kwamba gari kwao ina siku 4 sambamba na tamko la kamishna kwanini wanicharge 14 days? Wakagoma nikaamua kulipa ili siku zisiongezeke. Kilichoniuma zaidi ni kwamba nimelipia kutunziwa gari kwa 14 days lakini kuna vitu vimeibiwa kwenye gari huu kama si upuuzi ni nini? Utendaji wa TRA na TPA ni hopeless period.
pole sana mkuu mi nilifanikiwa lakini kwa mbinde mi walinipiga siku 3 za ziada wakati ilizidi moja tu nikakubali matokeo, msala mwingine tra walichaji kodi kutokana na bei zao siyo ile niliyonunulia