primking
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 645
- 160
...maneno hayo ni mazuri kuyasoma....lakini behind the scene...ni nyinyi mnaoshirikiana na TRA kuanzisha makampuni ya clearing....huku mkiweka watu wenu ndio washughulikie.....majamaa zenu wakiwaambia mteja huyu pesa yake ndogo.....basi na nyie mnafanya kusudi kuchelewesha process ambazo are quite simple and straight.......hiyo ni network yenu ya ulaji......unamkomoa mtu ili ufaidike nini!!?
Acheni huo unyama kwa Watanzania wenzenu......nyinyi mnafikiri mme-win kwa kupata hizo pesa haramu......trust me zitakuja kuwatokea puani very soon.....
C kweli kwamba tpa imeweka watu wake wa kufanya clearing.makampuni haya ni halali kabisa kufuata sheria zote za usajili kupitia chama chao clearing and forwarding na wote hupewa leseni za kiutendaji kwa mujibu wa sheria na kanuni za nchi.
Ndugu yangu mamlaka haina uhusiano wowote wa uanzishwaji wa haya makampuni kwamba kuna maslahi binafc mamlaka inapata ili ipo kuyasimamia haya makampuni yakuhudumie wewe sawasawa na matakwa yako.
Mamlaka ya bandari ni sikivu mno kwa mtanzania yeyote yule hvyo basi nawasihi ndugu zangu msiishie kutoa malalamiko yenu humu tuu pia tembeleeni mamlaka mkajionee wenyewe tatizo liko wapi nadhani kwa kufanya hivi tutaongeza ufanisi wa kiutendaji kwa mamlaka yetu ya bandari