Uzembe Bandarini na TRA-Mwakyembe Chukua Hatua Please

Uzembe Bandarini na TRA-Mwakyembe Chukua Hatua Please

...maneno hayo ni mazuri kuyasoma....lakini behind the scene...ni nyinyi mnaoshirikiana na TRA kuanzisha makampuni ya clearing....huku mkiweka watu wenu ndio washughulikie.....majamaa zenu wakiwaambia mteja huyu pesa yake ndogo.....basi na nyie mnafanya kusudi kuchelewesha process ambazo are quite simple and straight.......hiyo ni network yenu ya ulaji......unamkomoa mtu ili ufaidike nini!!?

Acheni huo unyama kwa Watanzania wenzenu......nyinyi mnafikiri mme-win kwa kupata hizo pesa haramu......trust me zitakuja kuwatokea puani very soon.....

C kweli kwamba tpa imeweka watu wake wa kufanya clearing.makampuni haya ni halali kabisa kufuata sheria zote za usajili kupitia chama chao clearing and forwarding na wote hupewa leseni za kiutendaji kwa mujibu wa sheria na kanuni za nchi.

Ndugu yangu mamlaka haina uhusiano wowote wa uanzishwaji wa haya makampuni kwamba kuna maslahi binafc mamlaka inapata ili ipo kuyasimamia haya makampuni yakuhudumie wewe sawasawa na matakwa yako.

Mamlaka ya bandari ni sikivu mno kwa mtanzania yeyote yule hvyo basi nawasihi ndugu zangu msiishie kutoa malalamiko yenu humu tuu pia tembeleeni mamlaka mkajionee wenyewe tatizo liko wapi nadhani kwa kufanya hivi tutaongeza ufanisi wa kiutendaji kwa mamlaka yetu ya bandari
 
Ogah I couldnt agree more with you kwenye hili. Hii nchi inakera sana kiukweli watu wanataka kula kila sehemu hata huruma kdg hawana. Mtu unafight kihalali unawekewa vigingi kila sehemu ili watu wale pesa yako. Mambo ya kijinga sana yanaendelea pale port kati ya TPA na TRA . Yaani wizi wa wazi wazi hizi government agents zinafanya kwa raia wake wakati zilipaswa kufanya kinyume chake kuwasupport hawa raia. Na hili linawezekana nionavyo mm sababu ya ukondoo wa watanzania, utawanyanyasa watalalamika period yameishia hapo hakuna la ziada. Mkuu Mwakyembe bado una kazi kubwa sana pale port, kufungua office Lubumbashi wakati port imeoza kiutendaji sidhani kama kutasaidia sana.

Mkuu ni utendaji gani uliooza ndani ya mamlaka?kma isue ni system ilikua inasumbua mbona hata humu ndani huwa inasumbua mara nyingi tu.je tuseme utendaji wa jf umeoza?

watendaji wa mamlaka ni binadamu kama wewe ndugu yangu na kukosea ni sehemu ya uwajibikaji ila haikufanyi wewe kuondoa imani na mamlaka ya bandari
 
Ulitakiwa utumie agents...umlipe na pesa za hongo...

Kaka mimi nimetumia agent lakini wapi gari imefika toka tarehe 24/6 wakalipia tra mara mtandao uko down mpaka sasa sijajua nini kinaendelea zaidi ya kuwa na mawazo ya kwenda kununua silaha tunyooshane hapa mjini.

Nasikia wanapata camission kwa hawa wenye bandari kavu gari zikipelekwa kule
 
Mkuu
Napata mashaka na malalamiko yako kwasababu,
1:hakuna raia binafc anayeruhusiwa kufanya clearance ya container au gari isipokua agent ktka kampuni inayotambulika na mamlaka(clearing and forwarding agent) je ww ni agent au mmiliki wa mzigo?

2:umeongelea chasis no kukosewa na manifest ikatumwa upya hili co tatizo la mamlaka ila ni kampuni iliyoagiza mzigo kutoka uk au wa hapa nchini hvyo kama ilitumwa ina maana transcerd itatoa ushuru halali na ukafwatilie gar kwa mda husika endapo agent wako atakua active.

3:kama ulijaza form ya kucomplain kwa delay ya gari na umekamilisha kodi.tafdhali fika mamlaka ya bandari ya taifa (t.p.a) leggall department ukiwa na majina kamili ya kampuni unayoitumia kuclear mizigo yako na stakabadhi zote za malipo.

Hivyo basi,
Ndugu zangu watanzania mamlaka ya taifa ya bandari haiusiki na clearance ya magari wala container isipokua inaratibu shughuli zote za uingiaji na utokaji wa mizigo na kutoa kibali cha mzigo kutoka bandarini.mamlaka imewapatia dhamana makampuni mbali mbali binafc kushughulikia utoaji wa magari ndani ya bandari kufikia mawakala wa uhifadhi magari mpaka kwa watumiaji hivyo hivyo kwa upande wa containers.

Pole sana ndugu yangu kwa usumbufu ulioupata ila jitahidi sana kumbana agent wako akupe ukweli wa nini kinaendelea huenda anashughulika na kazi ya mtu mwingine yako anakupiga calendar.

Nawasilisha

Kwa kweli bora umetufahamisha kuna fomu za kulalamika kitu hiki kilinitokea container limefika kwa wakati karatasi zimelipiwa kwa wakati basi agent alinizungusha mpaka basi siku ya kulitoa nafika port anasema inabidi tulipe storage 1 m la sivyo cont linarudi ndani hebu serikali. Ifikirie swala la hawa maagent wenye tamaa
 
Yah, hili linapunguza muda wa kufuatilia mwenyewe.

Idimi hakuna consignee anayeclear mzigo wake mwenye unless yeye ni approved agent kwa mujibu wa taratibu zilizopo. Mm sifanyi clearance mwenyewe natumia agent na nimekuwa naye step kwa step kwenye.
 
Idimi hakuna consignee anayeclear mzigo wake mwenye unless yeye ni approved kwa mujibu wa taratibu zilizopo. Mm sifanyi clearance mwenyewe natumia agent na nimekuwa naye step kwa step.

Duh. Pole bro. Pamoja na hustle zote hizo ndo unasema hujafanikiwa kutoa mkoko wako?
 
Kwa kweli bora umetufahamisha kuna fomu za kulalamika kitu hiki kilinitokea container limefika kwa wakati karatasi zimelipiwa kwa wakati basi agent alinizungusha mpaka basi siku ya kulitoa nafika port anasema inabidi tulipe storage 1 m la sivyo cont linarudi ndani hebu serikali. Ifikirie swala la hawa maagent wenye tamaa

Pole sana hawa ma agent ni lazima muwe nao makini sana badala ya kukusaidia anaweza kukuongezea gharama.peleka malalamiko yako bandari utapata msaada wa uhakika na wa haraka
 
Duh. Pole bro. Pamoja na hustle zote hizo ndo unasema hujafanikiwa kutoa mkoko wako?

Leo ni 13th day baada ya zile siku 7 kwisha na gari ililipiwa 2days kabla haijashushwa kwenye meli. Kwangu hili ni kama TRA na TPA wameniibia toka mfukoni kwani wananiadhibu kwa kosa ambalo sijafanya.
 
Kaka mimi nimetumia agent lakini wapi gari imefika toka tarehe 24/6 wakalipia tra mara mtandao uko down mpaka sasa sijajua nini kinaendelea zaidi ya kuwa na mawazo ya kwenda kununua silaha tunyooshane hapa mjini.

Nasikia wanapata camission kwa hawa wenye bandari kavu gari zikipelekwa kule

Pole mkuu na its absurd mtu kama Mkuu Primking anapopinga kwamba haya hayapo na sisi ni wazushi tu. Tuzushe kwa faida ipi?
 
Mkuu naomba kubatilisha kauli yako mimi sio msemaji wa mamlaka isipokua najaribu kukupa uhalisia wa utendaji wa mamlaka ya bandari.

Mkuu bobby kama swala ni la uchelewaji wa mizigo iliyopangiwa icd ilichelewa kuhamishwa ni matatizo tu ya kiutendaji na kibinadamu pia ndgu yangu ila hiyo haikufanyi wewe kuchelewa kupata mzigo wako kwa wiki mbili.

Bado nasisitiza fika mamlaka na agent wako kitengo cha malalamiko hapo ndo utajua mbivu na mbichi mkuu

Mkuu sorry sikusema wewe ni msemaji wa PTA na sorry kwa kuelewa hivyo. Nilisema unsound msemaji wa TPA kwani ulikuwa unapinga kitu ambacho mm nimekutanacho as if ulikuwepo kwenye tukio na hali haikuwa hivyo ninasema mimi!

Nashukuru kwa kukiri kwamba hao ni watendaji huenda kuna uzembe mizigo haikuhamishwa kwa wakati. Issue yangu ni kwamba kwanini kushindwa kwa mtu mwingine kutimiza wajibu wake kwa kuwa ni mwanadamu mm ndio nilipe hiyo gharama na si mwajiri wake au yeye mwenyewe?
 
Mkuu ni utendaji gani uliooza ndani ya mamlaka?kma isue ni system ilikua inasumbua mbona hata humu ndani huwa inasumbua mara nyingi tu.je tuseme utendaji wa jf umeoza?

watendaji wa mamlaka ni binadamu kama wewe ndugu yangu na kukosea ni sehemu ya uwajibikaji ila haikufanyi wewe kuondoa imani na mamlaka ya bandari

Mkuu issue ya dakika chache kbs kubadilisha manifest inapochukua 14 days na 7 days kugundua error ya chassis no kwako si uozo? Kwangu mimi ni UOZO PLUS. Mbali ya gharama za pesa nilizolipa na nitakazolipa kutokana na hili plus gharama za kisaikolojia ambazo huwezi kuzithaminisha simply tu bse TPA na TRA wamegoma kwenda na wakati ni kubwa sana mkuu na inakera kupita maelezo.

By the way, si mimi peke yangu nimekutana na hili tupo wengi na Im sure wapo ambao wameshaamua kuhama bandari kutokana na issues kama hizi ambazo zinazuilika ila zinaachwa ziendelee bila sbb za msingi.
 
Pole mkuu na its absurd mtu kama Mkuu Primking anapopinga kwamba haya hayapo na sisi ni wazushi tu. Tuzushe kwa faida ipi?

Kimsingi mkuu boby mtu anapokua na hoja tunaichambua kwa misingi na maadili ya maslai ya pande zote mkuu.

Wapi nimekuita mzushi mkuu?

Wapi nimepinga kwamba hizi dosari hazipo kwenye utendaji?

Naomba nieleweke kwamba cpingani na hoja yako ila najaribu kukuonyesha tatizo liko wapi na ndo mana nakupa majukumu ya agent na bandari ili uchanganue na kujua tatizo liko wap.

Nasisitiza kutokukuita mzushi mkuu wangu na ndo mana nkakwambia uende mamlaka kwa msaada zaidi mkuu
 
Mkuu sorry sikusema wewe ni msemaji wa PTA na sorry kwa kuelewa hivyo. Nilisema unsound msemaji wa TPA kwani ulikuwa unapinga kitu ambacho mm nimekutanacho as if ulikuwepo kwenye tukio na hali haikuwa hivyo ninasema mimi!

Nashukuru kwa kukiri kwamba hao ni watendaji huenda kuna uzembe mizigo haikuhamishwa kwa wakati. Issue yangu ni kwamba kwanini kushindwa kwa mtu mwingine kutimiza wajibu wake kwa kuwa ni mwanadamu mm ndio nilipe hiyo gharama na si mwajiri wake au yeye mwenyewe?

Mkuu utalipa hizo gharama kama utakataa kupeleka malalamiko yako kwenye idara husika mbona ni wasikivu tu jamani tupende kuthubutu kupigania haki zetu za kimsingi watanzania wenzangu
 
Mkuu Jojipoji shipping line anaitwa United Youth Company Ltd.

Mkuu sorry kwa kuchelewa kukujibu, United Youth ni C&F na si shipping line, sasa kama hauna details za uhakika kidogo Itakuwa Ngumu kupata msaada
 
Nilinunua gari znz nikalipia ushuru wote lkn maajabu ilinichukua siku nne kila ukienda ni sababu za ajabu tu!nilijua ni mm mwenyewe kumbe tupo wengi!mh Mwakyembe najua unapita humu hebu waulize hao jamaa kuna nn hapo?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom