Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:-
1. Gesi asilia ya kutosha
2. Makaa ya mawe ya kutosha
3. Mwanga wa jua wa kutosha
4. Nk nk
Leo tunaishia kubadilishiwa viongozi bila kuelezwa aliyetolewa ameharibu nini na kwa nini hapelekwi mahakamani ikibidi auwawe.
Tunaambiwa miunfombinu ni mibovu, wakati miaka michache hapo nyuma ilikarabatiwa na hatukusikia mgawo wa umeme.
Ninarudia, kwa kadhia hii ya ukataji hovyo umeme hata bila taarifa yoyote,bila fidia kwa wansoharibu biashara zao, Seriksli kuona ni jambo soft tuu, kuns haja jambo lifanyike.
Ninaamini kwa kilio chetu waathirika, na dharau tunayofanyiwa Mungu ataamua kabla hatujaamua. Haiwezekani, haiwezekani.