DOKEZO Uzembe wa Hospitali Kuu ya Mkoa Morogoro umesababisha kifo cha Mwanafunzi wa SUA

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hakuna uwajibikaji
 
Asante sana mama kwa kuupiga mwingi yaani hospital ya morogoro ina daktari mmoja tu wa upasuaji?
 
Mama yake hawezi kuumia maana inaonekana kuna shortage ya madaktari na aliyekuwepo alikuwa anawafanyia upasuaji mama wajawazito,dont be judgemental kazini,mjamzito ni first priority
Du! Wewe ni kilaza wa kutupwa
 
utasikia tanzania ina madktari wakutosha
 
Hospital ya mkoa hiyo, hakuna huo ulazima na uwezekano.
Nipo hospital( doctor) pia najua taratibu.
Wewe unaongea nini mzee..? Au mgeni nchi hii..??
Hospitali za rufaa za kanda hazina madaktari bingwa ndo sembuse hospitali za mkoa..? Karibu Tanzania mkuu
 
Daktari alikosa TZS 800,00.00 za kumtibia mwanaye private hospital? Anyways, apumzike kwa amani. Taifa limepoteza nguvu kazi kizembe sana.
Shangaa na wewe, mama kakosa 800k na wanafunzi wenzake wapandisha uzi wameshindwa kuchangishana wapate hata 400k ikamsaidie mwenzao.
 
Mwanamke akijifungua mimba ya kwanza mara nyingi wote mnakuwa hamjui jinsi ya kuhudumia ndo maana wengi wanaenda kuhudumiwa,

mimba ya pili wife alivojifungua sikuruhusu aende, alinifundisha vile alikuwa anahudumiwa kwenye mimba ya kwanza nikawa namuhudumia mimi kwa kufuata maelekezo anayonipa ndo kujua vile wanahudumiwa.
 
Chai.
 
Mimi sio Dr ila naomba nikuulize. Utumbo kujikunja ndio intestinal obstruction au intestinal volvulus( which is medical emergency)?
 
Halafu anatokea mjinga anakwambia bongo kama ulaya ,sijui ulaya ipi wenzetu wanaizungumzia huku ni third world lazima tukumbushane
 
sasa sijui nikupigie picha mshono au discharge form maana iko kwenye makabrasha. sidhani kama ntafaidika chochote ukiamini kwamba sio chai. tufanye tu iwe chai ili mambo yawe simple.
Nachokataa ni wewe kusema unampa post delivery management mkeo hapo nyumbani kwako.

Je unafahamu nini na nini anachoangaliwa anaporudi tena hospitali baada ya kujifungua?
 
Wamekosa laki 8 ya matibabu ila bajeti za mamilioni za mazishi watapata jamii yetu hii shida kweli utakuta hapi mchango wa wanchuo millioni sasa si mngemchangia hospitali huko.
 
Lazima waangalie ni kweli huyo daktari alikuwa na kazi kiasa cha kushindwa kuhudumia wengine. Inawezekana kuna upungufu kweli wa madaktari.
Kama kulikua na upungufu wa madaktari wangewaeleza ukweli na wangeona cha kufanya,Intestinal obstruction ni surgical emergency na inahitaji immediate surgical intervention siku 2 halafu mtu abaki haipo hiyo uzembe,uzembe,uzembe..rest in peace young academician
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…