Uzembe wa TANESCO, Nguzo iliyo anguka yaua Mwanafunzi Kyela

Uzembe wa TANESCO, Nguzo iliyo anguka yaua Mwanafunzi Kyela

Mkoa wa mbeya tanesco ni wazembe sana tofauti na mikoa mwingine sijui kwa nini tanesco tabora wako active muda wote mbeya labda wabadilishie uongozi ngazi za wilaya.
 
Sasa namba yake ya simu ya nini? Mmeelekezwa tukio lilipo, magari mnayo na mna mawasiliano ya viongozi wa serikali wa maeneo hayo au mtoa taarifa wenu wa eneo hilo. Kwanini msiwasiliane na hao hadi mtake namba ya simu ya mtoa taarifa humu?

Kwani T&C za JF hamzijui?
Namba hapana.
 
Ndugu mpendwa mteja wetu

Tumefatilia kwa kina mpaka kwa uongozi wa eneo husika hakuna nguzo iliyoanguka bali ziliinamana na kazi ya kuzibadilisha ilishindikana kutokana na uwepo wa nyuki wengi kwenye nguzo hizo.Usiku wa kuamkia leo tumefanikiwa kuondoa nyuki na sasa zitabadilishwa.Aidha hakuna kifo chochote kilichotowe taarifa au kutokea eneo husika hivyo kama una taarifa ya ziada weka hapa na namba yako tukusikilize.
Kwaiyo mdau wetu kaleta taarifa za uongo?
 
Kuna sticky thread yao humu imewekwa kumukoga Rais na Waziri wa Nishati kuwa wanafanya kazi kumbe hovyo kabisa, ningekuwa mimi ningewafumua kuanzia Mkurugenzi wao mpaka mpika chai wao
Tanesco Mkoa mzima wa Mbeya ni ovyo sana inatakiwa waamishwe au Kaleman aje kuwatumbua kuanzia meneja wa Kanda mpaka msaidizi wa hr , they are poor one. Ovyo kabisa. Wote wanao usika na administration wapanguliwe, otherwise wapelekwe mikoa mingine ambayo wataimudu.
 
Tanesco Mkoa mzima wa Mbeya ni ovyo sana inatakiwa waamishwe au Kaleman aje kuwatumbua kuanzia meneja wa Kanda mpaka msaidizi wa hr , they are poor one. Ovyo kabisa. Wote wanao usika na administration wapanguliwe, otherwise wapelekwe mikoa mingine ambayo wataimudu.
Nini haswa unalalamikia?

Simu

Namba ya taarifa

Tafadhali onyesha taarifa kamili tuone kwenye mfumo wetu
 
Hii iwe funzo iondoke na meneja wa taa mi siko mkoa, wilaya na hata taifa, wameweka namba za simu hadharani wakati hazipatikani, zikipatikana hazipokelewi, zikipokelewa hazifanyiwi kazi, cha kushangaza unakuta magari yao yameegesha kwa mamalishe wanakula supu
Point , saa tatu wanakula supu mda wa kazi?
 
Tunapenda kufanyia kazi taarifa za wateja wetu hivyo unapolalamika weka taarifa kamili sisi tuofanyie kazi
Sawa. Leo msitukatie umeme maana siku tatu alizowapa waziri zimepita.
Na hili unijibu tafadhali.
 
Back
Top Bottom