Uzembe wa TANESCO, Nguzo iliyo anguka yaua Mwanafunzi Kyela

Mkoa wa mbeya tanesco ni wazembe sana tofauti na mikoa mwingine sijui kwa nini tanesco tabora wako active muda wote mbeya labda wabadilishie uongozi ngazi za wilaya.
 
Namba hapana.
 
Kwaiyo mdau wetu kaleta taarifa za uongo?
 
Kwaiyo mdau wetu kaleta taarifa za uongo?
Tunashukuru kuleta taarifa hapa lakini tunawasihi wapendwa wateja wetu kuzingatia usahihi wa taarifa ili kuondoa taharuki kwa wateja wengine
 
Kuna sticky thread yao humu imewekwa kumukoga Rais na Waziri wa Nishati kuwa wanafanya kazi kumbe hovyo kabisa, ningekuwa mimi ningewafumua kuanzia Mkurugenzi wao mpaka mpika chai wao
Tanesco Mkoa mzima wa Mbeya ni ovyo sana inatakiwa waamishwe au Kaleman aje kuwatumbua kuanzia meneja wa Kanda mpaka msaidizi wa hr , they are poor one. Ovyo kabisa. Wote wanao usika na administration wapanguliwe, otherwise wapelekwe mikoa mingine ambayo wataimudu.
 
Nini haswa unalalamikia?

Simu

Namba ya taarifa

Tafadhali onyesha taarifa kamili tuone kwenye mfumo wetu
 
Point , saa tatu wanakula supu mda wa kazi?
 
Tunapenda kufanyia kazi taarifa za wateja wetu hivyo unapolalamika weka taarifa kamili sisi tuofanyie kazi
Sawa. Leo msitukatie umeme maana siku tatu alizowapa waziri zimepita.
Na hili unijibu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…