Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
Asante kwa kufuatilia, ila swali langu kwako kwa nini mlishidhwa kuondoa nguzo kwa siku zote hizo mpaka kifo kimetokea ndo mmeweza kuwaondoa nyuki. Si mngewaondoa toka first day mlipopewa taarifaNdugu mpendwa mteja wetu
Tumefatilia kwa kina mpaka kwa uongozi wa eneo husika hakuna nguzo iliyoanguka bali ziliinamana na kazi ya kuzibadilisha ilishindikana kutokana na uwepo wa nyuki wengi kwenye nguzo hizo.Usiku wa kuamkia leo tumefanikiwa kuondoa nyuki na sasa zitabadilishwa.Aidha hakuna kifo chochote kilichotowe taarifa au kutokea eneo husika hivyo kama una taarifa ya ziada weka hapa na namba yako tukusikilize.
We jamaa huwa unajibu kama roboti, yaani unaudhi sana, unakera mna jinsi unavyojibu, laiti ningekujua niknhekufuata ulipo nikutandike vinao, jibu kama binadamu mwenye utashi na ubongo kichwani kwake, damn it!Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23]..Daah,kazi ya customer care ni ngumu kwelikweli.Kwanini?
Wanaiweza VODACOM hawa wa serikali ni kwikwi na kiungulia![emoji23][emoji23][emoji23]..Daah,kazi ya custumer care ni ngumu kwelikweli.
Hivi mnacho kikosi cha uchunguzi cha shirika?Wapi? Tutumie namba za gari tufanyie kazi
Je umepitia majibu yetu ya kukanusha hii taarifa?
Tunahitaji transparencyKwanini?
Hawana watu wa fani hiyo, ukitaka kujua utendaji wa kazi wa Tanesco anzia kwa wale wanaosimika nguzo, mwanzo mwisho ni matusi ya nguoni[emoji23][emoji23][emoji23]..Daah,kazi ya custumer care ni ngumu kwelikweli.
Na kwenye vigrocery wanakata umeme wa konyagiHii iwe funzo iondoke na meneja wa taa mi siko mkoa, wilaya na hata taifa, wameweka namba za simu hadharani wakati hazipatikani, zikipatikana hazipokelewi, zikipokelewa hazifanyiwi kazi, cha kushangaza unakuta magari yao yameegesha kwa mamalishe wanakula supu
Wewe jiongeze hizi namba za simu unazoomba humu jf huwezi kupewa , nani anakuamini , au unadhani hiyo nembo ya tanesco ndio ya kuzugia watu humu ?Tafadhali tusaidie namba yako ya simu kwa hatua zaidi
Umeulizwa kwa nini ni shirika la hovyo? Toa jibuKama hujui hata chanzo cha mjadala huu maana yake ni wa hovyo, hujui wajibu wako
Haya.Uzembe wa TANESCO, Nguzo iliyo anguka yaua Mwanafunzi Kyela
Mpaka malori Yani, unakuta foreman anaenda kunywa chai ,hafu wafanyakazi wamekaa kwenye Lori wanamsubiria . Saa tatu au nne . Tena hili la kunywa supu mda wa kazi ni limeota mizizi Yani.Hivi mnacho kikosi cha uchunguzi cha shirika?
Mmepewa tip anzeni kufuatilia mtawaona watendaji wenu wakifanya hayo na Landcruiser zenu
Ndugu mteja,Haya.
Tanesco mwenyewe yuko hapa anawajibu na kufuatilia tunaomba mthibitishe hizo taarifa zenu.
Thibitisheni hio nguzo.
Thibitisheni hicho kifo
Hata picha imeshindikana kweli? Next time tuwe na vithibitisho vya picha ili tuwaumbue hawa watu wasio na hurumaUzembe wa TANESCO, Nguzo iliyo anguka yaua Mwanafunzi Kyela
Yaani whistle blower unataka atoe namba ya simu tena? Hivi wengine akili zenu zinafanyakazi kweli?? Amekueleza eneo cha kwanza kabisa ungecheki na ofisi zenu za huko Kyela ama ofisi ya serikali ya huko.Tafadhali tusaidie namba yako ya simu kwa hatua zaidi
Afisa habari, kama tatizo limeshashughulikiwa, nikushauri uache kujibizana na wateja, walio na nguvu nyuma ya keyboard na wengi wetu tuna machungu juu ya uzembe mwingi wa shirika ndani ya maeneo yetu husika.Ndugu mteja,
Soma hapo juu tumetoa maelezo ya kina hakuna nguzo ilioanguka wala kusababisha kifo