Uzembe wako ndio Umasikini wako: Kazi hizi za 'Kichovu' zinalipa mno Ulaya/Marekani- Ila uwe 'Kidume' kweli

Vidume wanapiga hadi $40k kwa mwaka.
Sijakuelewa hapo nilipopigia mstari.
Namaanisha nimesomea hiyo fani, forklift na reach steacker machines hapo chuo cha bandari dar, Huko kazi zipo? Na maslahi yakoje? Mf. Viwandani, bandari, godauni, n.k. asante.
 
Weka link au site tupeleke maombi au umetuhabarisha tu tunazipataje izo kazi?
 
Kubeba box ulaya ni trap kubwa sana usijaribu
Hili neno kubeba mabox nimelisikia sana huko nyuma sasa walioenda 🚶huko ng'ambo watueleweshe vizuri ni kubeba mabox kutoka kwenye gari na kupeleka kwenye ghala la kuhifadhia bidhaa au ni neno tu linatumika ila kuna kazi maalum na sio mabox naomba majibu wahenga 🚶 waliokwenda huko majuu waje hapa watueleze kwa kina juu ya kubeba mabox kunavyotoa!!
 
NAuli mnazo lakini za kwenda au mnauliza tu maswali 😂 😂
 
NAuli mnazo lakini za kwenda au mnauliza tu maswali 😂 😂
Sio nauli mkuu unaweza kuacha kazi ya maana uende kubeba mabox halafu ufike huko ujilaumu kwa kuacha kwako!!
Ni sawa na kuruka mkojo, mbele ukakanyaga kinyesi cha mtu mzima!!!
Ndiyo maana tunauliza hapa huko majuu ni kubeba maboksi au nijibuni huk😂😂😌😌ooo majuu!!
 
Mimi sipo majuu nipo vijijini ifakara ndani ndani😆😆
 


Chambua Tu sioni kama kuna shida
 
Mkuu we ni mkewe nini? maana si kwa povu hilo,in short uwe makini sana na watu humu jukwaani,wengine tunaweza kuwa nyuma yako bila wewe kujua, na ukashangaaa imooooo
 
Mkuu we ni mkewe nini? maana si kwa povu hilo,in short uwe makini sana na watu humu jukwaani,wengine tunaweza kuwa nyuma yako bila wewe kujua, na ukashangaaa imooooo


Kifupi tupo mtaa mmoja.
Huyo Baharia kama anataka kukuoa sisi hatuna neno tutashiriki shughuli.
 
$4,000 ni zaidi ya milioni 7 za Tanzania. Unajua hata conversion rate from U$ to T. shs?

Actual ni kama milioni 9 hivi na vijisenti hivi kama laki mbili. 🙂
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…