Uzembe wako ndio Umasikini wako: Kazi hizi za 'Kichovu' zinalipa mno Ulaya/Marekani- Ila uwe 'Kidume' kweli

Uzembe wako ndio Umasikini wako: Kazi hizi za 'Kichovu' zinalipa mno Ulaya/Marekani- Ila uwe 'Kidume' kweli

Mkuu hii Trump si alitutoa?


Nani kasema ?😳

Kwa taarifa yako na ya wale wengine wasiojua/waliopitiwa au wasiofuatilia kabisa;
Nikuwa, 'Selectees' ambao waling'ang'aniwa na jamaa Visa zao mwaka juzi yaani DV-2020 na sasa hawa wa DV-2021,
Baadhi wameshaanza kupokea miito (notificatio letters) za kualikwa kwenda Mabalozi kwaajili ya Usaili wa Visa.

Hili nina ushahidi wenye vidhibiti.

Mzee Baba Biden ameondoa 'mapokopoko' yote ya yule jamaa.

Iwapo wewe ni Mdau, usitie shaka mwaka huu jipange ucheze mapema.

Fuatilia Hati yako (Passport) mapema sababu utaratibu siku hizi shurti Mshiriki aweke taarifa za Hati ya kusafiria.
Lah kama hunayo, njoo chemba tushauriane.
 
Back
Top Bottom