Uzembe wako ndio Umasikini wako: Kazi hizi za 'Kichovu' zinalipa mno Ulaya/Marekani- Ila uwe 'Kidume' kweli

Basi wao wangekuwa wanakuja kutafuta ajira Bongo maana huku hakuna matumizi kabisa.
Cost inatokana na huduma bora kwenye kila nyanja hivo vitu havipo AFrika na hiyo mishahara pia haipo ...kila mbuzi anakula kwa urefu wa Kamba yake
 
Pia ukiwa elimu imepanda si elimu UCHWARA ya kuunga unga na gundi kama ya jiwe unaweza kuvuta zaidi $200K kwa mwaka na wako Wabongo wengi tu wanavuta hiyo pesa ndefu.
@BAK we unavuta ngapi per year?
 
Reactions: BAK
Kwahiyo kwenye savings ndo kuna ishu sio?
 
Kwahiyo kwenye savings ndo kuna ishu sio?
Ndiyo. Saving ya kiasi kikubwa mpaka ufanye mambo mengi ni issue. Hii ni kwa sababu maisha ya kule siyo kama huku swekeni kwetu. Kule mtu hahitaji biashara ya pembeni eti kwa sababu mshahara hautoshi, wala huhitaji kuweka fedha za kujenga kwani unachukuwa tu mkopo na deni linakatwa kidogo kidogo kwenye mshahara mapaka linaisha. Huhitaji kuwekeza siku ukistaafu kwa sababu pension yako itakutosha kikidhi mahitaji. Huhitaji kumwekea mtoto urithi kwani kila mtoto anayekua ana uhakika wa kusoma (huku akilipwa posho na serikali tangu azaliwe), kupata kazi na kuishi kama wewe. Gari hivyo hivyo, utanunua kwa mkopo. Matibabu nayo ni mazuri na yasiyo na gharama. NB: Nimezungumzia zaidi uzoefu wangu wa nchi za Scandinavia
 
Kwahiyo kuinvest bongo ni miujiza?
 
Kazi yoyote isiyotumia ujuzi ni kubeba box
 
mkuu naomba connection me niende uko nikapige kaz yoyote
 
mkuu naomba connection me niende uko nikapige kaz yoyote
JIpange ucheze Bahati nasibu y
(DV-2023) kuanzia mwanzoni mwa Mwezi wa kumi 2021, iwapo unavyo vigezo lakini.
 
Hapo kwa wazee wa XXXX nimekuelewa sana yaani mm nina mshebebe wakuwachezeshea vitasa watoto kwenye zile filamu
 
Nimekupata mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…