Uzi gani hutakaa uusome JamiiForums?

Mimi kuufungua uzi siyo ishu ila kuchangia.
 
Asalaam Alekyum!

Alhamdulillah, sijambo kabisa. Super mama naye yu buheri wa afya tele.

Mambo mengi, ila nipo. Kheri?
Jambo la kheri kaka.

Nafurahi kukuona tena.yep ni kheri.

Upo kule kule au ulishaondoka??
 
Sijawahi ogopa / kutotaka kufungua Uzi fulani, nafungua nasoma partially au siusomi kabisa ila nitapitia comments mbili tatu then naupotezea mazima.
Happy New Year.

Sasa mimi kusoma partially siwezi. Lazima niusome vema. Kama naona hauna maana naupotezea tu.
 
Jambo la kheri kaka.

Nafurahi kukuona tena.yep ni kheri.

Upo kule kule au ulishaondoka??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hata sijui tena kama nipo au sipo. Maana mara ya mwisho kuwasiliana sikumbuki nilikuwa wapi. Ko, huenda nipo ama nisiwepo.
 
Kula tunda kimasihara
 
Kuna nyuzi sijawahi kuchangia ila naziona tu ,ule wa kula "kimasiara" na wa kupeana likes.
 
Happy New Year.

Sasa mimi kusoma partially siwezi. Lazima niusome vema. Kama naona hauna maana naupotezea tu.
Happy New year too jiranii

Me kusoma partially ndio zangu, hata huu wako nimesoma title, intro kidogo mpaka pale ulipo- bold nikaacha πŸ˜€πŸ˜€
 
Huo uzi wa "makosa 10 aliyofanya Mungu" sijawahi kuuona, natamani content zake.
 
Happy New year too jiranii

Me kusoma partially ndio zangu, hata huu wako nimesoma title, intro kidogo mpaka pale ulipo- bold nikaacha πŸ˜€πŸ˜€
Umekataa kuja kunisabahi jirani.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hata sijui tena kama nipo au sipo. Maana mara ya mwisho kuwasiliana sikumbuki nilikuwa wapi. Ko, huenda nipo ama nisiwepo.
Jibu la kibabe sana hili kama.kesho utaniona
 
Hata wewe [emoji16]
Nimemfahamu Mungu wangu kwa namna ya kipekee kabisa... Nina imani thabiti juu yake na uwezo wake wa uumbaji.... Kumkejeli ama kum challenge kwangu ni kitu cha kuogofya mno...!!!
Hata kwenye ushirikina pamoja na kuwa tunaroga sana lakini lakini linapotajwa jina lake kuu tunasanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…