Mkuu, hii gari kama ipo Dar naomba tuwasilianeQuick sale! Dualis 8.8M TZS
📞calls & whatsApp 0769463336
Mia mbili million ya Zimbabwe Nyooooko😂🤣🤣🤣 hiyo hiyo ya 1.5Mil unapewa na no ya fundi kabisaNa hapa nishindwe kupata cha bei ya jioni kweli cha kama milion 1.5😬😬🤣🤣🤣 cc Fake P ile chuma yako ulinambia ulinunua milion 65 au mia mbili milion?
Namba ya fundi tena kwani itakuwa ni garage kila dk🤣🤣🤣Mia mbili million ya Zimbabwe Nyooooko😂🤣🤣🤣 hiyo hiyo ya 1.5Mil unapewa na no ya fundi kabisa
Sasa 1.5 Mil unanunua gari ya 🤬🤬Namba ya fundi tena kwani itakuwa ni garage kila dk🤣🤣🤣
Si ndio gari ni gari npumzishe hizi kwato🤣🤣Sasa 1.5 Mil unanunua gari ya 🤬🤬