Uzi huu nitakuwa nikikupa updates za Magari used yalipo sokoni

Uzi huu nitakuwa nikikupa updates za Magari used yalipo sokoni

Pia kwa updates zaidi,unaweza ku-Follow Akaunti yetu ya WhatsApp Channel kwa kubonyeza Link hii hapa 👇🏽 KARIBU


 
Wakuu ivi kununua used bongo na kuagiza used japan kipi ni bora?
Kuagiza gari Japan na kununua used( ya mkononi kwa mtu/au Yard) kote unaweza pata gari nzuri au kimeo, maana hata hiyo ya kuagiza Japan nayo ni used lakini tu imetumika mahali kwenye mazingira manzuri kuitunzaji, turudi kwenye swali lako la msingi kuwa ipi bora?
Hapa sasa inategemea Bajeti yako , kam unataka used unregistered( isiyo na usajili) basi option ni kuagiza Japan au kuchukua kwa Yard Dar es Salaama ila hapa uwe makini, pata dealer mwaminifu atakaekupa gari imara….na kama used registered( yenye usajili tayari) basi mshirikishe fundi unae mwamini pale unapotaka kufanya malipo kwa gari husika.
Kuhusu bei inategemea na hali ya gari husika pia aina ya gari husika na pia mabadiliko ya thamani ya dollar( hii kwa kuagiza)
NB:- Ubora wa gari unachangiwa na sababu/factors nyingi ni haupatikani tu katika sababu/factor ya “ imetoka Japan” au “imenunuliwa hapa hapa nchini ”kuna gari zimetumika hapa nchini zaidi ya miaka 5 ni imara kuliko ambayo muda huu ipo bandari imeingia kutoka Japan and the vice versa is true. Asante
 
IST

BEI....11.8M
2005....YOM
1290....CC
95,000KM....MILEAGE
📞calls & whatsApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_0952.jpeg
    IMG_0952.jpeg
    647.1 KB · Views: 24
  • IMG_0951.jpeg
    IMG_0951.jpeg
    513.7 KB · Views: 23
  • IMG_0950.jpeg
    IMG_0950.jpeg
    453.8 KB · Views: 24
FORESTER

BEI....22.8M
2011....YOM
1990....CC
73,000KM....MILEAGE
📞call & whatsApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_0953.jpeg
    IMG_0953.jpeg
    531.1 KB · Views: 20
  • IMG_0954.jpeg
    IMG_0954.jpeg
    522.1 KB · Views: 22
  • IMG_0955.jpeg
    IMG_0955.jpeg
    520.1 KB · Views: 22
Toyota Harrier, engine 2AZ, Bei tsh 18.3M
📞calls & whatsApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_1016.jpeg
    IMG_1016.jpeg
    433.2 KB · Views: 20
  • IMG_1013.jpeg
    IMG_1013.jpeg
    351.7 KB · Views: 18
  • IMG_1015.jpeg
    IMG_1015.jpeg
    350 KB · Views: 18
  • IMG_1014.jpeg
    IMG_1014.jpeg
    386.8 KB · Views: 23
IST-BEI....10.8M TSH
2004....YOM
1290....CC
GOOD CONDITION
MBEYA 🇹🇿
📞calls & whatsaApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_1037.jpeg
    IMG_1037.jpeg
    806.4 KB · Views: 18
  • IMG_1036.jpeg
    IMG_1036.jpeg
    850.1 KB · Views: 22
  • IMG_1039.jpeg
    IMG_1039.jpeg
    833.4 KB · Views: 21
  • IMG_1038.jpeg
    IMG_1038.jpeg
    697.3 KB · Views: 20
Hello ! Uzi huu nitakuwa nikikupa updates za Magari used yalipo sokoni, yenye uzima na yanatumika kwa bei nafuu kabisa….kwa latest updates unaweza Subscribe uzi huu, ili kupata taarifa za gari mpya itakayo postiwa hapa. Pia unaweza follow instagram Page yetu kwa handle ya 👉🏾( @tunauza_we_sell )

Pia kwa updates zaidi,unaweza ku-Follow Akaunti ya WhatsApp Channel kwa kubonyeza Link hii hapa 👇🏽 KARIBU



Toyota Harrier Second Generation for Sale Price 15.8M
Engine 2AZ
Cc 2360
Location Mbeya
📞 0769463336
View attachment 3168187View attachment 3168188
Sio mabovu?
 
Hello ! Uzi huu nitakuwa nikikupa updates za Magari used yalipo sokoni, yenye uzima na yanatumika kwa bei nafuu kabisa….kwa latest updates unaweza Subscribe uzi huu, ili kupata taarifa za gari mpya itakayo postiwa hapa. Pia unaweza follow instagram Page yetu kwa handle ya 👉🏾( @tunauza_we_sell )

Pia kwa updates zaidi,unaweza ku-Follow Akaunti ya WhatsApp Channel kwa kubonyeza Link hii hapa 👇🏽 KARIBU



Toyota Harrier Second Generation for Sale Price 15.8M
Engine 2AZ
Cc 2360
Location Mbeya
📞 0769463336
View attachment 3168187View attachment 3168188
Acha niweke odds za usiku huu niivute hiyo
 
Hapana boss sio mbovu, ila ukileta ubahili+ shortcuts kwenye matunzo as guided by user menu, itakuwa mbovu na utajuta kununua .Karibu
Kama ni hivyo odds zangu za laki moja nainunua hiyo
 
Toyota ist tsh 11.3m
📞calls & whatsApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_1075.jpeg
    IMG_1075.jpeg
    307 KB · Views: 18
  • IMG_1074.jpeg
    IMG_1074.jpeg
    308.8 KB · Views: 17
Toyota Harrier tsh 18m
📞calls & whatsApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_1072.jpeg
    IMG_1072.jpeg
    561.8 KB · Views: 22
Toyota isis
📞calls & whatsApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_1073.jpeg
    IMG_1073.jpeg
    416.1 KB · Views: 26
Back
Top Bottom