Uzi huu nitakuwa nikikupa updates za Magari used yalipo sokoni

Pia kwa updates zaidi,unaweza ku-Follow Akaunti yetu ya WhatsApp Channel kwa kubonyeza Link hii hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ KARIBU


 
Wakuu ivi kununua used bongo na kuagiza used japan kipi ni bora?
Kuagiza gari Japan na kununua used( ya mkononi kwa mtu/au Yard) kote unaweza pata gari nzuri au kimeo, maana hata hiyo ya kuagiza Japan nayo ni used lakini tu imetumika mahali kwenye mazingira manzuri kuitunzaji, turudi kwenye swali lako la msingi kuwa ipi bora?
Hapa sasa inategemea Bajeti yako , kam unataka used unregistered( isiyo na usajili) basi option ni kuagiza Japan au kuchukua kwa Yard Dar es Salaama ila hapa uwe makini, pata dealer mwaminifu atakaekupa gari imaraโ€ฆ.na kama used registered( yenye usajili tayari) basi mshirikishe fundi unae mwamini pale unapotaka kufanya malipo kwa gari husika.
Kuhusu bei inategemea na hali ya gari husika pia aina ya gari husika na pia mabadiliko ya thamani ya dollar( hii kwa kuagiza)
NB:- Ubora wa gari unachangiwa na sababu/factors nyingi ni haupatikani tu katika sababu/factor ya โ€œ imetoka Japanโ€ au โ€œimenunuliwa hapa hapa nchini โ€kuna gari zimetumika hapa nchini zaidi ya miaka 5 ni imara kuliko ambayo muda huu ipo bandari imeingia kutoka Japan and the vice versa is true. Asante
 
IST

BEI....11.8M
2005....YOM
1290....CC
95,000KM....MILEAGE
๐Ÿ“žcalls & whatsApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_0952.jpeg
    647.1 KB · Views: 24
  • IMG_0951.jpeg
    513.7 KB · Views: 23
  • IMG_0950.jpeg
    453.8 KB · Views: 24
FORESTER

BEI....22.8M
2011....YOM
1990....CC
73,000KM....MILEAGE
๐Ÿ“žcall & whatsApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_0953.jpeg
    531.1 KB · Views: 20
  • IMG_0954.jpeg
    522.1 KB · Views: 22
  • IMG_0955.jpeg
    520.1 KB · Views: 22
Toyota Harrier, engine 2AZ, Bei tsh 18.3M
๐Ÿ“žcalls & whatsApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_1016.jpeg
    433.2 KB · Views: 20
  • IMG_1013.jpeg
    351.7 KB · Views: 18
  • IMG_1015.jpeg
    350 KB · Views: 18
  • IMG_1014.jpeg
    386.8 KB · Views: 23
IST-BEI....10.8M TSH
2004....YOM
1290....CC
GOOD CONDITION
MBEYA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
๐Ÿ“žcalls & whatsaApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_1037.jpeg
    806.4 KB · Views: 18
  • IMG_1036.jpeg
    850.1 KB · Views: 22
  • IMG_1039.jpeg
    833.4 KB · Views: 21
  • IMG_1038.jpeg
    697.3 KB · Views: 20
Sio mabovu?
 
Acha niweke odds za usiku huu niivute hiyo
 
Hapana boss sio mbovu, ila ukileta ubahili+ shortcuts kwenye matunzo as guided by user menu, itakuwa mbovu na utajuta kununua .Karibu
Kama ni hivyo odds zangu za laki moja nainunua hiyo
 
Toyota ist tsh 11.3m
๐Ÿ“žcalls & whatsApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_1075.jpeg
    307 KB · Views: 18
  • IMG_1074.jpeg
    308.8 KB · Views: 17
Toyota Harrier tsh 18m
๐Ÿ“žcalls & whatsApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_1072.jpeg
    561.8 KB · Views: 22
Toyota isis
๐Ÿ“žcalls & whatsApp 0769463336
 

Attachments

  • IMG_1073.jpeg
    416.1 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ