Malumbo wa ngullo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,246
- 11,011
La magariGroup lipi ndugu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La magariGroup lipi ndugu ?
Yaa c unajua tena ujanaUwaringishie sio
Ushauri mzuri, hii itasaidia mnunuzi kukaa mbali na usumbufu usio na tija, gari zote zinazouzwa hapa zinauzwa na wamiliki halali na zina documents halali za wamiliki na mchakato wa ku-transfer card baada ya mauziano unafanyika kwa uaminifuNiwaombe wanunuzi wa haya magari,usikubali kuuziwa gari lenye jina la mtu mwingine nje na huyo anayekuuzia.
Haijalishi mmeandikiana mkataba na kadi ya gari umepewa,ukienda TRA kuna vitu wanavihitaji vinamhusisha mmiliki.
Kwa kweli ujana maji ya motoYaa c unajua tena ujana
Nunua sasa au unpe lakoKwa kweli ujana maji ya moto
Nina 4 mil.NISSAN XTRAIL
CC1990
GARI KALI SANA
FULL DOCUMENTS
FULL AC
BEI 6.8
📞Calls & WhatsApp 0769463336