Uzi kuhusu hapo katikati

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Habari wadau.
Kuhusu huu uzi naomba tuongelee sentesi ya hapo katikati muendelezo ie,

Jana nilikaa maeneo ya pale Picaso hapo katikati akaja jamaa kuniletea mazoea nikamkataa!

Niliitwa kituoni jana jioni kufika pale hapo katikati wakaniweka lokapu.

Kweli wanawake wote wa sasa hivi ni wazuri ila hapo katikati walikuwa sio wazuri kihivyo.

Kama unalo hapo katikati endelea tucheke wikiend iendelee.
 
Hizi sentensi umeforce kuweka neno katikati hadi nimehisi aibu
 
Eeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…