AnatudanganyaaAnatupiga kamba? MAANA yake?
Anatufunga akili?
Hii itakuwa ni chai pia.Nashangaa fulani kusema "Chai" akirejea mada ya uzi fulani. Huwa wana maana gani? Chai?
.
View attachment 3273902
Embu nione yaliyomo yamo??Akisema chai, muulize anataka chai ya rangi au ya maziwa?
Usisahau kumletea na maandazi ya iliki..?