Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Wakuu natafuta chimbo wanalouza polish, wax, air freshner za magari kwa bei ya jumla
 
Ndugu zangu jamii forum nahitaji mtu anayeweza kunipa ajira yoyote halali maeneo ya shinyanga mjini nina diploma ya pharmacy lakin sina lesseni nategemea kupata mwezi wa kum huu
 
Niko na ujuzi wa mambo ya fuatayo.

[emoji117]Kuandaa matangazo ya kupost kwenye mitandao ya kijamii kwa ajiri ya kujitangaza(Posters),

[emoji117]Design ya Mabango ya biashara, Stickers kwa ajili ya Ofisi mbali mbali

[emoji117]Pia naweza kufanya Social media management.

Mwenye connection ya kazi tajwa hapo juu. Naomba shavu...[emoji849][emoji849]

MO GFX
Tell +255 766 348 089
 
Mwalimu wa masomo ya economics na geography, nahitaji shule ya kufundisha.
Kingine kama kuna mtu anakopesha au taasisi nahitaji ufadhili kwenye kilimo cha nyanya ekari moja kuanzia mwezi oktoba. mawasiliano : 0786898066
Anahitaji mchongo ndugu yetu tumpatie mchongo aweze kujikimu
 
Kwanini kazi zimekuwa hadimu sana kipindi hiki !?
Mfumo wa ajira kaka ndio umekuwa wa ovyo sana imekuwa kupata ajira lazima uwe na connection.

Na ndio kilichonigusa ili kutoa msaada kwa ambao hawana connection nao waweze kusaidika.


Hivyo tusisite kupeana michongo.
Najua kuna ambao watafaidika kwa uzi huu,
Na naamin ipo siku watakuja kutoa ushughuda uzi ulibadili maisha ya mmoja wetu humu.


Asanteni sana nyote mliendelea kutoa michongo bila choyo.
Naamin Mungu atawalipa kwa kidogo.
 
Wakuu natafuta chimbo wanalouza polish, wax, air freshner za magari kwa bei ya jumla
Anaefahamu amsaidie ndugu yetu.

Anahitaji kufahamu chimbo la polish, wax, air fresh za magari kwa bei ya jumla.


Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Ndugu zangu jamii forum nahitaji mtu anayeweza kunipa ajira yoyote halali maeneo ya shinyanga mjini nina diploma ya pharmacy lakin sina lesseni nategemea kupata mwezi wa kum huu
Anahitaji mchongo ana diploma ya pharmacy.

Japo bado leseni hana anaomba mchongo kwa shinyanga mjini.
 
Niko na ujuzi wa mambo ya fuatayo.

[emoji117]Kuandaa matangazo ya kupost kwenye mitandao ya kijamii kwa ajiri ya kujitangaza(Posters),

[emoji117]Design ya Mabango ya biashara, Stickers kwa ajili ya Ofisi mbali mbali

[emoji117]Pia naweza kufanya Social media management.

Mwenye connection ya kazi tajwa hapo juu. Naomba shavu...[emoji849][emoji849]

MO GFX
Tell +255 766 348 089
Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Hellow Habari, mimi ni fundi umeme wa magari natumia mashine za kisasa kufanya kazi na pia narudusha/programming kwa funguo zilizopotea zinazotumia sensor. Nitakufuata popote kama gari yako inashida ya umeme, wasiliana Nami 0659-717838

20210918_092924.jpg


20210917_174342.jpg
 
Habari wakuu
Naomb tusaidian nina diploma ya electrical and electronics engineering
Pia nina ujuzi wa computer Programming

Naomba nisaidiwe Kazi yeyote ya halali, pia kwa kazi za ufundi umeme majumbani, kampuni, kiwandani, n.k

Nipo tayari kutoa ujira wang kwa yeyote atakaenipa mchongo wa kazi yeyote wakat wowote
 
Kama utaalamu wowote guys,register kwenye portal mpya ya freelancers bongo kwaajili ya kupeana michongo ambapo itakua kama sehemu pia ya kukutangazia service yako.Kama hujui kabisa namna ya kufanya unaweza check profiles zilizoko pale kisha ukajaza kwa style hiyo.sehemu mpya hiyo ya kuweza kutangaza service yako ni sautipesa.com.

Na pia kama unahitaji courses za udemy huna haja ya kununua unaweza tembelea udecoupon.com hapo coupons kwaajili ya kupata premium courses free zinawekwa kila siku kila muda,kumbuka zina muda wa expire so ukichelewa ukikuta coupon imeexpire then ushapoteza
 
Nina shahada ya kwanza ya Electronics and Telecommunications.
Nina ujuzi pia wa troubleshooting electrical and electronic systems.
Nina ujuzi pia wa networking na namiliki vyeti kadhaa vya kitaalamu.

Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tafadhali kwa yeyote mwenye kufahamu sehemu yenye uhitaji nicheki DM
 
Back
Top Bottom