De Rabbits slick
Senior Member
- Mar 18, 2018
- 167
- 166
- Thread starter
-
- #221
Anahitaji mchongo ndugu yetu kwa yeyote mwenye connection bhasi asisite kumsaidia ndugu yetu.Habari wakuu
Naomb tusaidian nina diploma ya electrical and electronics engineering
Pia nina ujuzi wa computer Programming
Naomba nisaidiwe Kazi yeyote ya halali, pia kwa kazi za ufundi umeme majumbani, kampuni, kiwandani, n.k
Nipo tayari kutoa ujira wang kwa yeyote atakaenipa mchongo wa kazi yeyote wakat wowote
Shukran sana kwa kutokuwa mchoyo wa michongo na kutusanua mchongo mpya utakao tusaidiane sote katika kuzidi kupata michongo zaidi.Kama utaalamu wowote guys,register kwenye portal mpya ya freelancers bongo kwaajili ya kupeana michongo ambapo itakua kama sehemu pia ya kukutangazia service yako.Kama hujui kabisa namna ya kufanya unaweza check profiles zilizoko pale kisha ukajaza kwa style hiyo.sehemu mpya hiyo ya kuweza kutangaza service yako ni sautipesa.com.
Na pia kama unahitaji courses za udemy huna haja ya kununua unaweza tembelea udecoupon.com hapo coupons kwaajili ya kupata premium courses free zinawekwa kila siku kila muda,kumbuka zina muda wa expire so ukichelewa ukikuta coupon imeexpire then ushapoteza
Wakuu fursa hiyo.Habari Nina kampuni ya ulinzi nahitaji kufungua branches sehemu mbalimbali hivo mwenye interest na uzoefu anaweza nichek PM tuyajenge kwa ushirikiano wa uaminifu
Yupo njian kukujibu.Upo mkoa gani Kaka ? Gali yangu Ina shida flani ya kutowaka coz imekaa ground almost a year
We can make a dealView attachment 1946520View attachment 1946519
Udemy ni nn?Kama utaalamu wowote guys,register kwenye portal mpya ya freelancers bongo kwaajili ya kupeana michongo ambapo itakua kama sehemu pia ya kukutangazia service yako.Kama hujui kabisa namna ya kufanya unaweza check profiles zilizoko pale kisha ukajaza kwa style hiyo.sehemu mpya hiyo ya kuweza kutangaza service yako ni sautipesa.com.
Na pia kama unahitaji courses za udemy huna haja ya kununua unaweza tembelea udecoupon.com hapo coupons kwaajili ya kupata premium courses free zinawekwa kila siku kila muda,kumbuka zina muda wa expire so ukichelewa ukikuta coupon imeexpire then ushapoteza
Udemy ni site moja inayojihusisha na maswala ya utoaji wa elimu mbalimbali.Udemy ni nn?
Wakuu mje mtuletee hata kazi za kutumia nguvu, kufanya asubuhi hadi jioni mtu anapewa ujira wake
Coz hizo kazi za professional tulizo somea imekuwa ni ngumu kuzipata kutokana na current situation ya soko la ajira hapa nchini
Nawasilisha
Upo mkoa gani Kaka ? Gali yangu Ina shida flani ya kutowaka coz imekaa ground almost a year
We can make a dealView attachment 1946520View attachment 1946519
Naomba namba yako mkuu,Wanazengo me ni fundi umeme wa magari connection iwe binafs au company au garage yenye kazi za kutosha poa maana nina uwezo wa kupiga kazi 24hrs uzoefu wangu over 5 yrs ndani ya umeme wa magri popote nafanya kazi ndgu zang kwa sasa naishi bunju dar es salaam
Upoo wapi mkuu kam n dar tray 6500/= yakaa mayai 30Natafuta mayai ya kisasa kwa bei ya jumlaa.. kama unayo ni pm
Mkoa ganiWakuuu mchongo huu hapa......ninabiadhaa nataka kuuza uswahilini na masokoni au nyumba kwa nyumba.....tutatumia gari kuzunguka hayo maeneo.
Vigezo wanahitajika watu WA sales
. Wawe ambaye wanaweza kushawishi watu
. Wachangamfu
. Wasio hona aibu
. Waweze kufikia taget
.malipo ni kwa mwezi....tutajadiliana
Nahitaji vijana 2 Tu....jinsia yoyote ile
Kwa mawasiliano ni PM.
Nipo dar but nafanya kazi, ya mobile gereji yaani nauwezo wa kumfuata mteja alipoUpo mkoa gani Kaka ? Gali yangu Ina shida flani ya kutowaka coz imekaa ground almost a year
We can make a dealView attachment 1946520View attachment 1946519
Mkuu ungetolea ufafanuzi zaidi yani unahitaji msaada wa uhamisho wa aina gani kutoka kwenye taasisi au?mwenye ,uwezo,Wa,kunisaidia,uhamisho,kutoka,Kigoma kwenda,Moro,,
Shukran sana kwa kutokuwa mchoyo wa michongo.Wakuuu mchongo huu hapa......ninabiadhaa nataka kuuza uswahilini na masokoni au nyumba kwa nyumba.....tutatumia gari kuzunguka hayo maeneo.
Vigezo wanahitajika watu WA sales
. Wawe ambaye wanaweza kushawishi watu
. Wachangamfu
. Wasio hona aibu
. Waweze kufikia taget
.malipo ni kwa mwezi....tutajadiliana
Nahitaji vijana 2 Tu....jinsia yoyote ile
Kwa mawasiliano ni PM.
Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao.
Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria unaweza share ili kusaidia jamii yetu.
Lengo ni kujikwamu kimaisha.
Pia unaweza share mchongo+
Ushauri
Ahsanteni naomba kuwasilisha.
#Tupeane Michongo.