Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Hio free call pia unatumia siku 14?
Na je vipi huduma ikisitishwa kabla ya miaka 2?
 
namb yako mkuu
 
Asante Sana mlioniamini nanimefanya kazi na nyie huduma hii pia kesho itakuwepo wenye uhitaji msisite kunipM
 
Pia wale ndg zangu mlio tayar kufanya kazi za TRA muombe huwez jua bahati yako iko upande ngan!
 
Ndugu kama kuna mtu ana garage au yard anipe mchongo..nshafanya kaz za garage na ninauzoefu nazo kwa ndani ya nchi na hata kwa nje ya nchi yaan nishakuaga kwenye gar za transit kwahyo uzoefu nnao WA kutosha..napatkana daressalaam
 
Kwa halotel vip???
 
Helow once again nipo hapa kuomba mchongo. Vitu navyo. weza kufanya ni graphics design.

[emoji117]Design ya Mabango ya office mbali mbali. Hapa unaweza pata Art work/full bango mpaka kuwekewa ofisini.

[emoji117]Design ya Vipeperushi vya aina zote.

[emoji117]Design ya LOGO | BUSINESS CARD

Phone / Watsup : 0766348089
 
Mi ni tour Guide poa sana naweza fanya sana kazi za kambini au kukaa pembeni maana usukani siko poa sana ila Najua utalii unataka nini!
Naombeni connection wakuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Shukran sana kwa kutokuwa mchoyo wa mchongo naiman kuna ambaye anatufaika na mchongo huu..



Kama kuna ndugu jamaa anahitaj mchongo huu basi amshtue ili ajikwamue kimaisha [emoji120]
Huyu jamaa ni dereva mzuri sana wa magari ya makubwa Hana cheti tu Cha form four ila ana uzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye kuendesha mambo yake magumu sana
0782680511

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…