Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
@TONY LOVE habari. Una Bata bukini?Natafuta connection ya wateja wa, kuku,wapo kuku 300 madume na majike,pia na bata,.anaechukua kuanzia kuku 50 na kuendelea.ni chotara wenye kilo 5 .karibu Sana,0622310464.
Hapana boss wapo wa kwaida@TONY LOVE habari. Una Bata bukini?
Sh ngpGB 72 kwa mwaka mzima bado zipo anayehitaji Pm.malipo kabla ya kazi
Call tgo kwa miaka 2 pia ipo Malipo baada ya kazi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuku unauza bei gani mmoja?Natafuta connection ya wateja wa, kuku,wapo kuku 300 madume na majike,pia na bata,.anaechukua kuanzia kuku 50 na kuendelea.ni chotara wenye kilo 5 .karibu Sana,0622310464.
Aje alimie bustani hapa kwanguWakuu kuna ndugu anahitaji mchongo wowote halali, ni mkaka ana elimu ya form 6 division 2 hajaenda chuo mwaka huu, hivo kwa niaba naomba kama kuna sehemu yoyote hata manual works ataweza. Ni mkaka fulani anajitambua sana hivo hatokuangusha kwenye kazi yoyote utakayompa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yeah nao pia Ni mchango aiseeAje alimie bustani hapa kwangu
Kweli yupo serious anahitaji nimwambie aje?Aje alimie bustani hapa kwangu
Ana uzoefu gani?Kweli yupo serious anahitaji nimwambie aje?
Ana uzoefu kwa kutumia computer, ana experience na mambo ya insurance kidogo. Anaweza kazi zote za kutumia nguvu, ili mradi ziwe halali mkuuAna uzoefu gani?
Sawa sawa ngoja niangalie pa kumuwekaAna uzoefu kwa kutumia computer, ana experience na mambo ya insurance kidogo. Anaweza kazi zote za kutumia nguvu, ili mradi ziwe halali mkuu
Thank you mkuuSawa sawa ngoja niangalie pa kumuweka
Kilo 5 una pichaNatafuta connection ya wateja wa, kuku,wapo kuku 300 madume na majike,pia na bata,.anaechukua kuanzia kuku 50 na kuendelea.ni chotara wenye kilo 5 .karibu Sana,0622310464.
Kilo 5 una picha
Tafuta mtaji uanze kubeti achana na mambo ya kazi ndugu yanguAisee wakuu kitaa ni kigumu sana. Nina leseni daraja D kama kuna boss anahitaji kuendeshwa dereva nipo. Naendesha gari vizuri tu na nina uzoefu wa kutosha kuendesha manual na Automatic.
Asanten sana wakuu.