Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Hali ni mbaya sana huku mtaani na vijana wamekata tamaa sana ya maisha

Toa mchongo ambao mtu akiwa na miguu yake miwili na mikono yake miwili anafanya ili apate ahueni ya maisha yake
Ili aweze ondokana na mawazo potofu ambayo kwa wakati mwingine yanaweza hatarisha maisha yake.


Hili ndilo lengo kuu la uzi huu

Kuhakikisha sote tunaisaidia jamii yetu katika kuondokana na hali ngumu.

Sisi ndio wakuwasaidia hivyo bhas kama kuna mchongo wowote bhas usisite kushare mchongo wako ilhali ni mchongo halali bhas itakuwa vyema zaidi.

Shukran sana nyote mlioendelea kushare michongo.
Nanyi mkachangamkie michongo iliyotolewa.


..
#Tupeanemichongo
Tupeane michongo
 
Mtoa hiyo fursa kakimbia
Sijui anjipanga labda ila asije akatugeuza fursa sie
Maana hali mbaya saana
 
Mtoa hiyo fursa kakimbia
Sijui anjipanga labda ila asije akatugeuza fursa sie
Maana hali mbaya saana
Kabisa kiongozi.

Tunahitaji kusaidiana katika maswala ya kupata michongo nasio kuwa chambo ya michongo..

Lengo kuu ni kuisaidia jamii yetu hasa vijana wenzetu kuondokana na hali ngumu.
 
Shukran sana kwa mtoa uzi
Waungana mm ni GRADUATE QUANTITY SURVEYOR(mkadiriaji gharama za ujenzi)
Pia ni ujuzi kwenye masuala ya cost planning, cost budgeting,BoQ preparation, contract administratin, project management etc..... Msaada jmn km ntaweza kupata company yoyote ya ujenzi nitajitolea for free
 
Natafuta wauzaji wa reja reja wa dagaa wa nyasa, nauza kwa jumla.

0743123946
 
Shukran sana kwa mtoa uzi
Waungana mm ni GRADUATE QUANTITY SURVEYOR(mkadiriaji gharama za ujenzi)
Pia ni ujuzi kwenye masuala ya cost planning, cost budgeting,BoQ preparation, contract administratin, project management etc..... Msaada jmn km ntaweza kupata company yoyote ya ujenzi nitajitolea for free
Ndugu yetu graduate anahitaji mchongo katika kampuni ya ujenzi anauzofu tajwa hapo juu na anataaluma ya mkadiriaji gharama za ujenzi. Kwa lugha ya kigeni QUANTITY SURVERYOR.



TUPEANE MICHONGO
TUPEANE MICHONGO.
 
Natafuta wauzaji wa reja reja wa dagaa wa nyasa, nauza kwa jumla.

0743123946
Shukran kwa kutokuwa mchoyo wa mchongo.

Kwa ufafanuzi zaidi je unahitaji wanaotoka maeneo gan hasa mkoa wako nchini yako au wa mikoa mbalimbali hata nje ya nchi.[emoji120]


Shukran.

Ndugu zangu michongo ndio hiyo tuchangamkie fursa ili tuweze kubadili maisha yetu.




Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao.

Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria unaweza share ili kusaidia jamii yetu.

Lengo ni kujikwamu kimaisha.

Pia unaweza share mchongo+

Ushauri

Ahsanteni naomba kuwasilisha.

#Tupeane Michongo.
Nimeweka uzi natafuta meli mbovu kubwa na ndogo
 
Natafuta mayai ya kisasa kwa bei ya jumlaa.. kama unayo ni pm
Ufafanuzi zaidi unahitaji mayai upo maeneo gani ili iwe rahis kukufikia kwa wakati.?


Shukran sana kwa kutokuwa mchonyo wa michongo..


Wasomaji wa uzi huu ukiwa unamayai basi mchongo ndio huu changamkia ubaki nyuma..
 
Back
Top Bottom