Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Mchongo ndo huo kazi kwenu mm ningepeleka cv zangu tatizo mfupi naomba mnisaidie na mm bado sijspata ajira
IMG_20220103_143806_680.jpg
 
Vodacom

730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=

One Month Pre-paid

12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=

One Month

Vodacom

12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k

One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Karibuni chama cha majobless (CCM) hichi ni chama kipya cha wasio na kazi ili kujiunga dm me for more details.NB kuna kiingilio jameni[emoji28][emoji28][emoji28] Kiingilio ni elfu 1500 tu ila kuna faida za kuwa kwenye chama hichi kama pia unataka uongozi ntumie text dm nayafuta mawaziri na wabunge wa kuwasilisha majobless wengine tutajipa ajira sasa maana serikali imekataa kutupa sasa tutatengeneza serikali yetu na majimbo yetu karibu napokea maombi.Labda kwa kuweka jambo sawa hiyo 1500 ndio kama mapato maana tutakuwa na miradi yetu wenyewe.Nawasalimu kwa jina la chama cha majobless revolution is coming.
 
Naunganisha tgo gb 72 za mwaka mzima ambapo kila mwez utapata GB 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima Bei Pm. ( Malipo kabla ya kazi).
Pia naunganisha free call tgo kwa miaka 2 ( malipo baada ya kazi)
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Only for seriously people.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bei gani

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
kuna kampuni inaitwa Gardaworld ipo mikocheni b...kituo kinaitwa kwa mwinyi kampuni hiyo ni ya ulinzi...inahitaji madereva nenda ukiwa na leseni yako orginal, cheti cha shule kuanzia msingi hadi sekondary...vyeti orginal...leseni yako halali kabisa bila kusahau cheti cha kuzaliwa pamoja na namba ya nida au kitambulisho cha nida...kama unavyo vitu hivyo jumatatu fanya uende ukafanye interview...wataarifu na madereva wengine wenye uhitaji
 
HABARI NINA DIPLOMA YA PHARMACY (PHARM TECH) NATAFUTA KAZI YA KUUZA PHARMACY, DLDM HATA DISPENSARY ASANTE
062256765 AU 0718927103
 
kuna kampuni inaitwa Gardaworld ipo mikocheni b...kituo kinaitwa kwa mwinyi kampuni hiyo ni ya ulinzi...inahitaji madereva nenda ukiwa na leseni yako orginal, cheti cha shule kuanzia msingi hadi sekondary...vyeti orginal...leseni yako halali kabisa bila kusahau cheti cha kuzaliwa pamoja na namba ya nida au kitambulisho cha nida...kama unavyo vitu hivyo jumatatu fanya uende ukafanye interview...wataarifu na madereva wengine wenye uhitaji
Wamezidisha mno vigezo vyao,,,, yaan mtu awe na uzoefu wa miaka 5??
 
Tupeane Michongo: Kama una kazi yoyote au una connection ya mchongo wa kazi share hapa hili mwenye sifa akifate DM or PM
 
Vodacom

730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=

One Month Pre-paid

12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=

One Month

Vodacom

12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k

One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ww unaweza mlipa mtu usiye mjua
 
Back
Top Bottom