Uzi kwa ajili ya mabachelor

Kwenye suala la mapenzi kuna wakati ni changamoto sana
Una vinu vyako kadhaa sijui ni shetani anakuwa ana ingilia kati ama vipi
Kila utakaye mcheki ana udhuru baasi usiku kucha unalala mikono ndani ya shuka unachezea πŸ’ tuu
 
Mi bachelor Ila sijui kwann nikiwa ghetto napenda kusikiliza Ule wimbo wa "bachelor sitaki kua bachelor Japo maisha ya kisela ndio ambayo yananipa Raha".

Najiona nakaribia kuhama hili chamaπŸ˜ƒ
 
Suala la kuosha vyombo na kufua serikali itusaidie tupate suluhisho la muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu.

Alfajiri napo tunachelewa kwenda Kazini maana unaamka unakuta abdala kichwa wazi kashaamka inabidi umsubiri amalize mazoezi
 
Kwenye suala la mapenzi kuna wakati ni changamoto sana
Una vinu vyako kadhaa sijui ni shetani anakuwa ana ingilia kati ama vipi
Kila utakaye mcheki ana udhuru baasi usiku kucha unalala mikono ndani ya shuka unachezea πŸ’ tuu
Unachezea vipira 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…