Uzi kwa ajili ya mabachelor

Uzi kwa ajili ya mabachelor

Kwenye suala la mapenzi kuna wakati ni changamoto sana
Una vinu vyako kadhaa sijui ni shetani anakuwa ana ingilia kati ama vipi
Kila utakaye mcheki ana udhuru baasi usiku kucha unalala mikono ndani ya shuka unachezea 🍒 tuu
 
Mi bachelor Ila sijui kwann nikiwa ghetto napenda kusikiliza Ule wimbo wa "bachelor sitaki kua bachelor Japo maisha ya kisela ndio ambayo yananipa Raha".

Najiona nakaribia kuhama hili chama😃
 
Wananunua meupe taulo inatakiwa iwe ya rangi nyeusi au darkblue😅
images (10).jpeg
 
Suala la kuosha vyombo na kufua serikali itusaidie tupate suluhisho la muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu.

Alfajiri napo tunachelewa kwenda Kazini maana unaamka unakuta abdala kichwa wazi kashaamka inabidi umsubiri amalize mazoezi
 
Back
Top Bottom