π weeeh!! Kumbe?!!Haha unafikiri chino ni boya kumganda mtu kama ruba?
Anajua yaliyomo yamo kweli
Nimecheka Sanaβa πππbila shaka unanifatiliaππeti anasema mimi mke wa mtu,, imebidi niishi nae ivo ivo ili twende sambamba,,eti nanuka kishundu na hii flat sasa angejua π€£π€£
Nivione π kwanza ndo niogope πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huogopiii?
Asa boxer nayo inahitaji Wife...Badilisheni boxer izo mkiinama zinatia kinyaa
mimi hata aje mtu na akili gani lazima niende nae sawa,,akisema mm bibi naenda kibibiππππNimecheka Sanaβa πππ
hata sio jirani ni road uko,,ila mbona kuna wanaume wamechangia hum haifuliwi boxer πAsa boxer nayo inahitaji Wife...
Hao Jirani zako wachafu tu..
Ptuuu
Wote mlikutana mmevurugwa na maisha πmimi hata aje mtu na akili gani lazima niende nae sawa,,akisema mm bibi naenda kibibiππππ
mimi sikuvurugwa ata ,ila niliona huyu lazima ni bachelor sio kwa hasira zileππWote mlikutana mmevurugwa na maisha π
Nani kakuchamba?? πππmimi sikuvurugwa ata ,ila niliona huyu lazima ni bachelor sio kwa hasira zileππ
kwanza tuache mwenzio nmechambwa leo kua naharibu nyuzi za watu kwa kutoka nje ya mada
nilimwe ban mimiππ napenda sana vituko vya humu,,Nani kakuchamba?? πππ
Kwani we mgeni humu?? Nawe ungewachamba, km mbwai mbwai
Unaogopa ban? πππnilimwe ban mimiππ napenda sana vituko vya humu,,
ivi Kwan mm nawewe n bachelors,,tutoke
naogopa miheππnije pewa ya mweziUnaogopa ban? πππ
Mi kote nipo bachelor na married inategemea nimeamka na mood gani??
Wachambe acha uoga, wasikupande kichwani buana ππππnaogopa miheππnije pewa ya mwezi
siku nikipandwa kichwan mbona utajua ππbado sana,,, bachelorWachambe acha uoga, wasikupande kichwani buana ππππ
Hakunaga mshangazi msela msela hivMshangazi OG mama la mama
Uniite nikusaidie kukupa mawe uwapopoe nayo wifi πππsiku nikipandwa kichwan mbona utajua ππbado sana,,, bachelor