Uzi kwa ajili ya mabachelor

Uzi kwa ajili ya mabachelor

kipanga85

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2024
Posts
2,459
Reaction score
6,466
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
 
Binafsi Niko level ya field Marshall nimevuka bachelor, senior bachelor, principal
Changamoto kwa bachelor huwa hazipo hapo unapaswa kufurahia maisha tena sana maana hata circle Yako inakuwa ya ma bachelor ila ukifika principal na field Marshall hapa ndio huwa pagumu sana maana circle Yako huwa wengi wanafamilia na maeneo mengi utakayoenda lazima utajuliwa Khali ya familia hapo ni pa tough kidogo ila ndio vile unakaza maana hakuna namna mtaani penzi limekuwa adim sana
 
Salute field marshal👊 mimi hapa ni Grand marshal
 
Back
Top Bottom