Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
Naomba nijib kwa niaba yao,,hua tunaenda kuwafulia kila baada ya wiki moja akina sisi tunaoenda kwenye mageto yao na kujifanya ni wife materials.Mabachela wenzangu,huwa mnachukua miezi Mingapi kufua Mashuka na Mapazia,..