Uzi kwa ajili ya mabachelor

Uzi kwa ajili ya mabachelor

Raha halisi ya kuwa bachelor inakuja ukishatoka kwenye ndoa isiyokupa amani... Ni kweli changamoto zipo mfano kufua, usafi wa nyumba, vyombo, mambo ya kupika na mpangilio wa maisha kiujumla ni tatizo kwa bachelors wengi, kazi kubwa ni kutafuta namna ya kuondokana na hizo changamoto ila kama suluhisho lako litakuwa ni kuingia kwenye ndoa tena ili kuondokana na hizo changamoto basi utakuwa unajitwisha gunia jepesi la misumari ili hali kichwa chako kina upara... Yah ni jepesi na sio zito

Guys amani unayoipata ukiwa bachelor utaimiss sana ukiwa kwenye ndoa na mtu asiye sahihi
 
Back
Top Bottom