Uzi kwa ajili ya mabachelor

Uzi kwa ajili ya mabachelor

Kwenye nyimbo ya bachela, nay wa mitego anasema

“Na ukimpata niliyemuacha hauzibi pengo” hahah

Bachelor wanakuwaga sana wife na husband materials sema tu hawana mpango na kupotezeana muda na heshima zao kisa kuingia kwenye ndoa.
 
Anaendelea kusema kwamba
“walioshoboka na ndoa wanaisoma namba” hahahaha
 
Niliwahi toka bafuni kuoga then hivyo hivyo na slippers zangu mpaka jikoni nikachukua msosi nikaanza kula sebuleni.....

Bwana wee kuna kidemu jirani kimezoea kuingia ndani bila hodi Oyaa aibu niliona mm na akawa demu wangu hapo hapo😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom