Uzi kwa Mdada anaetambua umuhimu wa Mahusiano ya Urafiki

HUKU ABROAD

Senior Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
127
Reaction score
218
Mimi ni kijana wa miaka 30 ... natafuta rafiki wa kike mwenye kujua umuhimu wa urafiki lakini lengo langu kubwa ni kuwa na mpnz wa kudumu nae milele ..

katika safari yangu ya maisha sikuwah kupata muda wa kuwa karibu sana na wasichana kwa sababu fulani , lakini kwa sasa niko available kwa mwanamke yeyote ambae anahitaji kuwa na rafiki wa kiume wa kumfariji ,Mwanamke ambae alikosa furaha kutoka na sababu fulani ya kimapenz au hata kijamii .. mimi nipo tayar kuwa nae close tubadirishane mawazo na kama ikiwezekana baadae mambo yakienda vizur ntakuwa tayar kuingia kwenye mahusiano !!..

kama kuna mwanamke yeyote mwenye uhitaji wa urafik huo.please usisite kuni check ...
angalizo
napenda model ,yaani wanawake wembamba . ila sichagui rafiki

karibuni sana ..
 
umesoma vibaya ... pesa ipo ila tu sitaki wanaume nimesema mwanamke πŸ˜‚
Sawa nimeonyesha masikitiko yangu kwamba mpka 30 bado domo zege na hakuna sehemu nimeandika unataka wanaume na ningeshangaa domo zege alafu utake wanaume si watakuharibu dogo ila nina mashaka na mirinda miaka 30 hukuwa karibu na wanawake basi ulikua karibu wazee wa kaziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwa wewe hata rafiki zako au ndugu zako wakiunguka au kupoteza direction kazi yako kubwa ni kucheka maanguko yao ?
 
Tongoza mzee jiamini acha udomo zege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…