HUKU ABROAD
Senior Member
- Nov 20, 2020
- 127
- 218
- Thread starter
- #21
Mzee umeiomba kitaalamu
yaani nashindwa kuelewa mwanaume mwenzangu ananicheka kisa nina miaka 30 sina mchumba ... anafurahia maanguko ya wengine .. hii kitaalamu tunawaitaje hawa watu ?😂😂😂😂
Wavumilie tu, kuna wakati hata wao hawaelewi kama ni wanawake au wanaume.