financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Mmh kasema kabisa kwenye uzi wake yeye ni kijana na anahitaji mdada, anyways kumwita mtu vyovyote vile humu sidhani kama ina effect yoyote kwake. Alasiri njemaAlafu umejuaje kua ni me wakati ameandika best culture desing hilo neno halifungamani na upande wa me au ke labda kama unamjua mbali na id yake